Siyo kweliTanzania mishahara ipo Chini Sana.
Siyo kweliTanzania mishahara ipo Chini Sana.
Utakuwa mwongo ,kenya kupata pesa sio rahisi
Kenya juzi waliongezea Ksh. 29 ,sasa hiyo ni Tsh ngapi?
Usiwe unaongea kwa kuleta lawama hazina mantiki.
Kima cha chini cha mshahara TZ ni kikikubwa kuliko KenyaUmesahau huku waliongeza elfu ishirini kabla ya juzi kuongeza kima Cha Chini?
MBONA serikali Yako ilipambana kulazimisha mashirika yalee yaende Dodoma kwani hawakuona ongezeko la gharama za maishaHakuna Mkenya atanufaika, zaidi ya kupanda kwa gharama za maisha.
Wewe ni mgogo?MBONA serikali Yako ilipambana kulazimisha mashirika yalee yaende Dodoma kwani hawakuona ongezeko la gharama za maisha
Kwishaaa
Naona hunielewi, thamani ya pesa iko kwenye purchasing power sio amount, hizo exchange rates zipo tuHeshima kwa Kenya kwa kulinda thamani ya pesa yao.
Inasaidia nini?Heshima kwa Kenya kwa kulinda thamani ya pesa yao.
Kenya wanatambua vipi?Kwani Tanzania Kuna ajira?.kingine Kenya walichotuzidi Cha muhimu ni kujitambua ndiyo maana huchukua hatua kudai Kwa nguvu haki zao tofauti na Tanzania ambayo hata uwakamue vipi wataendelea kutulia tu.
Mimi ni basha wa wakoJE WEWE ni mhadzabe mkuu?
Kwishaaa
Usiishi kwa kukariri, hata USD kuna currency zaidi ya 9 zinaizidi thamani.Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Walituibia mlima wetu.Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Je uchumi wetu na kenya upi bóra!?Usiishi kwa kukariri, hata USD kuna currency zaidi ya 9 zinaizidi thamani.
Kuilazimisha serikali kufuta finance bill mbovu ilikuwq ni ishara ya ukomavu wa wakenyq,,,haiwezekqniMhaiwezekqniKenya wanatambua vipi?
Haki zipi wanazodai wakapata??
Mfano.**** mswaada walioupitisha wabunge wa Kenya na rais akaukubali na kutia sahihi w kupandisha Kodi kwenye bidhaa mbalimbali ikapelekea kukinukisha GenZ Hadi kutengua sahihi yake.Kwa Tanzania Hilo lingewezekana?Kenya wanatambua vipi?
Haki zipi wanazodai wakapata??
Tanzania haiwezekani kwasbabu hata Muswada watu hawafuatilii.Mfano.**** mswaada walioupitisha wabunge wa Kenya na rais akaukubali na kutia sahihi w kupandisha Kodi kwenye bidhaa mbalimbali ikapelekea kukinukisha GenZ Hadi kutengua sahihi yake.Kwa Tanzania Hilo lingewezekana?
Mwka huu imepitishwa ile ile na hakuna walichofanya.Kuilazimisha serikali kufuta finance bill mbovu ilikuwq ni ishara ya ukomavu wa wakenyq,,,haiwezekqniMhaiwezekqni