Uchumi wa Tanzania ni bora kwa maana ya gap ya income inequality ni ndogo kati ya tajiri na masikini, ila kwa maana ya ukubwa uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko wa TZ.Je uchumi wetu na kenya upi bóra!?
Inawezekan kuna kitu sielewi...Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Korea mbali sana kes 1 ni sawa na yen 1.15 ya kijapan, sasa utasema. Uchumi wa kenya uko sawa na japani?Inawezekan kuna kitu sielewi...
Sawa KSH 1 = TZS 18
KSH 1,000,000 = TZS 18,000,000
Kama hicho ndiyo kigezo cha akili, je Korea kusini wanazidiwa akili na wakenya..?
Maana KES 1 = KRW 10.75
KES 1,000,000 = KRW 10,751,000
Explain please
Ambacho wengi hawajui ni kwamba thamani ya fedha hupimwa na yale ambayo fedha husika inaweza kufanya ndani ya nchi husika,mfano tsh elfu kumi ya tz ni sawa na 520 hv ya kenya.Kenyan currency ina thamani kubwa kuliko Japanese Yen pia. Kumbuka hilo
Na wajapani hawaandamani kisa bei ya unga
Akili yako ndogo sana.Hatuwawezi, hata kwa kila kitu!
Why?
Ujamaa ujamaa, elimu, kuwajibishana, blah blah ziko chache, wako straight, hawana uswahili uswahili.....
Kuilazimisha serikali kufuta finance bill mbovu ilikuwq ni ishara ya ukomavu wa wakenyq,,,ha
Kuilazimisha serikali kufuta finance bill mbovu ilikuwq ni ishara ya ukomavu wa wakenyq,,,hapa
Kuilazimisha serikali kufuta finance bill mbovu ilikuwq ni ishara ya ukomavu wa wakenyq,,,haiwezekqniMhaiwezekqni
Kuilazimisha serikali kufuta finance bill mbovu ilikuwq ni ishara ya ukomavu wa wakenyq,,,haiwezekqniMhaiwezekqni
Hiyo haiwezekani bingMfano.**** mswaada walioupitisha wabunge wa Kenya na rais akaukubali na kutia sahihi w kupandisha Kodi kwenye bidhaa mbalimbali ikapelekea kukinukisha GenZ Hadi kutengua sahihi yake.Kwa Tanzania Hilo lingewezekana?
Je uchumi wa Kenya na Tz upi uko juu naona mambo ya sarafu ndo mnajifichiaPesa ya Kenya pia ina thamani kubwa kuliko Yen ya Japan.
Kenya na Japan unaweza kuziweka mzani mmoja?
Hapo muulize mchumi wa Tanzania tena mwenye PHD akuelekeze kuhusu hiyo hali kwann pesa ya Tanzania ipo hivyo na ya Kenya ipo hivyo uone mtu anavyozunguka zunguka full kuongea maneno mengi halafu anakuacha kwenye mataa bila jibu lililonyooka.😂😂😂
Okay,turejee kwenye mada. Kinachosababisha hii hali mara nyingi kinaweza kuwa ni miongoni mwa sababu zifuatazo:
1. Tofauti ya thamani ya sarafu (exchange rate) Shilingi ya Kenya (KES) imekuwa na thamani kubwa zaidi ikilinganishwa na Shilingi ya Tanzania (TZS) kwa miaka mingi.
Kwa mfano: Hivi sasa shilingi 1 ya Kenya ni takriba 19–20 TZS, ndiyo maana milioni 1 ya kenya inakaribia milioni 20 TZS. Sio kwa sababu Kenya “ina pesa nyingi zaid", ila ni kwa sababu nguvu ya soko na thamani ya sarafu yake iko juu zaidi.
2. Mfumuko wa bei na historia ya uchumi: Tanzania mfumuko wa bei umedumu kwa muda mrefu sana ambao umepunguza thamani ya shilingi ya Tanzania.
Kenya wenzetu pia wana mfumuko wa bei, lakini sarafu yao wanailinda sana kwa kuwa na mauzo makubwa ya bidhaa na sekta yenye mapato ya kigeni kwa mfano USD. Wamejiwekeza sana katika export zenye thamani na hivyo kuongeza foreign exchange reserve kwenye hazina yao.
3. Uzalishaji wa bidhaa na huduma
Kenya inauza bidhaa na huduma zenye thamani ya juu kimataifa (mfano: chai, maua, huduma za kifedha, teknolojia, bila kusahau wamewekeza utalii wa hadhi ya juu sana kwa east Africa.
Tanzania hapa tunazo rasilimali nyingi sana (madini, gesi, utalii), lakini kwa uwezo mzuri na bidii za mama kwasababu mama ameweza sana, mauzo yetu mengi ni malighafi zisizo na thamani kubwa iliyoongezwa hivyo kwenye soko la nje tunaishia kuwa wateja wa madalali wa viwanda. Imagine tunauza tumbaku katika fungu lake hata haijachambuliwa badala ya sigara au cigar, tunauza buni badala ya kahawa nzuri, tunauza cocoa badala ya chocolate, tunauza korosho mbichi katika maganda yake badala ya korosho ya kula kwenye pakti, tunagawa mahoteli ya utalii kwa wazungu 80% ya mapato wanachukua hao hao wazungu na kusepa nayo kwao hiyo ni hela ya kigeni inaondoka badala ya ubakie hapo BOT. Mwigulu kazi kukenua meno tu utadhani chawa kamuona tajiri.
4. Mikakati ya kifedha na kisiasa:
Usimamizi wa sarafu, deni la taifa, na sera za Benki Kuu huathiri sana nguvu ya pesa. Kenya mara nyingi imetumia mchanganyiko wa sera na mikopo ya kigeni kudumisha uimara wa sarafu yao (hata kama deni ni kubwa)
Tanzania imekuwa na mtazamo wa sarafu "duni" (weak currency) kwa nia ya kuweka mauzo ya nje ya bidhaa za kilimo na utalii kuwa nafuu kwa wateja wa kigeni. Kwa kifupi, Serikali ya Tanzania wanahangaika na kupambania kuonekana ni cheap raw material source wanaidhoofu shilingi ya Tanzania ili mataifa ya nje yapate soko la bei ya chini kwaajiri ya malighafi za viwanda vyao.
5. Uwekezaji wa kigeni na mtiririko wa fedha:
Kenya ina uwekezaji mkubwa wa moja kwa moja kutoka nje (Foreign Direct Investments) hasa kwenye sekta ya kifedha na teknolojia, ambazo zinapandisha mahitaji ya shilingi ya Kenya.
Tanzania bado tuna tatizo kubwa eneo la uwekezaji kwa kuvutia FDI's zaidi kwenye sekta za uchimbaji madini na wahandisi kwaajiri ya miundombinu, ambazo hazibadilishi sana thamani ya shilingi ya Tanzania kwa wananchi wa kawaida.
Kwa kuhitimisha tu niseme kwamba, pesa ya kenya ina nguvu zaidi kwa sababu ya mchanganyiko wa uzalishaji wa thamani ya juu, mapato ya kigeni, na historia ya sera za kifedha katika jamuhuri ya watu wa kenya wakati shilingi ya Tanzania ni dhaifu zaidi kwa sababu ya mfumuko wa bei wa muda mrefu, utegemezi wa mauzo ya malighafi badala ys huduma na bidhaa zenye zilizoongezwa thamani, na mkakati wa shilingi yenye thamani ya chini.
Tubadilike.
Nahisi umekosea kunitag mimiAmbacho wengi hawajui ni kwamba thamani ya fedha hupimwa na yale ambayo fedha husika inaweza kufanya ndani ya nchi husika,mfano tsh elfu kumi ya tz ni sawa na 520 hv ya kenya.
Kwa Tanzania hyo elfu kumi unaweza kununa mojawapo kati ya hivi:
-mchele kg4
-unga kg 8 na chenji inabaki
-full plate ya nyamachoma na kinywaji
-nauli ya safari ya zaidi ya km 200
-gb 8 za intaneti mwezi mzima.
-ukienda mnadani unapata nguo za mtumba safi karibu nusu ya begi la shangazi kaja
Sasa huko kenya hyo 520 zaidi ya chips kavu na soda unaweza kufanya haya??!
Mimi nisie na akili au sisi tueleze basi tunawazidi nini?! Badala la kuleta dharau, kejeli na matusi! Ila hatushangai, you just joined jf 2023!Akili yako ndogo sana.
Toka hapo jikoni kwa mama yako akili ikue
Angalia purchasing power na sio wingi wa tarakimu. Kama ni hivyo hata Pesa ya Zimbabwe itaonekana ina nguvu kuliko fedha ya TanzaniaUhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Unalipwa kjoin humu miaka 2000, mbona unaabudu ukiazi sana ,jamaa.Mimi nisie na akili au sisi tueleze basi tunawazidi nini?! Badala la kuleta dharau, kejeli na matusi! Ila hatushangai, you just joined jf 2023!
Heeheee hiyo miaka 1990 -2018, nchi nyingine zilikuwa zinafanya kazi haswa, wakati sisi tunasumbuana na magenge na ufisadi.Korea mbali sana kes 1 ni sawa na yen 1.15 ya kijapan, sasa utasema. Uchumi wa kenya uko sawa na japani?
Kenya gpd 124.5 billion USD (2024) na japan gpd
5.054 trillion USD (2020)
So exchange rate ya pesa duniani haimaanishi nchi ndio ina uchumi mkubwa
Nina mfano mwingine
Shilingi moja ya kenya ni sawa na 0.056 Chinese Yuan. Sasa je uchumi wa kenya na china ni sawa? Hizi exchange rate zililetwa enzi chumi zinafananaView attachment 3438296
Kwa lugha rahisi TZ, ikitaka hata kesho inaweza kuweka thamani ya sarafu kuwa sawa au zaidi ya Kenya.Hapo muulize mchumi wa Tanzania tena mwenye PHD akuelekeze kuhusu hiyo hali kwann pesa ya Tanzania ipo hivyo na ya Kenya ipo hivyo uone mtu anavyozunguka zunguka full kuongea maneno mengi halafu anakuacha kwenye mataa bila jibu lililonyooka.😂😂😂
Okay,turejee kwenye mada. Kinachosababisha hii hali mara nyingi kinaweza kuwa ni miongoni mwa sababu zifuatazo:
1. Tofauti ya thamani ya sarafu (exchange rate) Shilingi ya Kenya (KES) imekuwa na thamani kubwa zaidi ikilinganishwa na Shilingi ya Tanzania (TZS) kwa miaka mingi.
Kwa mfano: Hivi sasa shilingi 1 ya Kenya ni takriba 19–20 TZS, ndiyo maana milioni 1 ya kenya inakaribia milioni 20 TZS. Sio kwa sababu Kenya “ina pesa nyingi zaid", ila ni kwa sababu nguvu ya soko na thamani ya sarafu yake iko juu zaidi.
2. Mfumuko wa bei na historia ya uchumi: Tanzania mfumuko wa bei umedumu kwa muda mrefu sana ambao umepunguza thamani ya shilingi ya Tanzania.
Kenya wenzetu pia wana mfumuko wa bei, lakini sarafu yao wanailinda sana kwa kuwa na mauzo makubwa ya bidhaa na sekta yenye mapato ya kigeni kwa mfano USD. Wamejiwekeza sana katika export zenye thamani na hivyo kuongeza foreign exchange reserve kwenye hazina yao.
3. Uzalishaji wa bidhaa na huduma
Kenya inauza bidhaa na huduma zenye thamani ya juu kimataifa (mfano: chai, maua, huduma za kifedha, teknolojia, bila kusahau wamewekeza utalii wa hadhi ya juu sana kwa east Africa.
Tanzania hapa tunazo rasilimali nyingi sana (madini, gesi, utalii), lakini kwa uwezo mzuri na bidii za mama kwasababu mama ameweza sana, mauzo yetu mengi ni malighafi zisizo na thamani kubwa iliyoongezwa hivyo kwenye soko la nje tunaishia kuwa wateja wa madalali wa viwanda. Imagine tunauza tumbaku katika fungu lake hata haijachambuliwa badala ya sigara au cigar, tunauza buni badala ya kahawa nzuri, tunauza cocoa badala ya chocolate, tunauza korosho mbichi katika maganda yake badala ya korosho ya kula kwenye pakti, tunagawa mahoteli ya utalii kwa wazungu 80% ya mapato wanachukua hao hao wazungu na kusepa nayo kwao hiyo ni hela ya kigeni inaondoka badala ya ubakie hapo BOT. Mwigulu kazi kukenua meno tu utadhani chawa kamuona tajiri.
4. Mikakati ya kifedha na kisiasa:
Usimamizi wa sarafu, deni la taifa, na sera za Benki Kuu huathiri sana nguvu ya pesa. Kenya mara nyingi imetumia mchanganyiko wa sera na mikopo ya kigeni kudumisha uimara wa sarafu yao (hata kama deni ni kubwa)
Tanzania imekuwa na mtazamo wa sarafu "duni" (weak currency) kwa nia ya kuweka mauzo ya nje ya bidhaa za kilimo na utalii kuwa nafuu kwa wateja wa kigeni. Kwa kifupi, Serikali ya Tanzania wanahangaika na kupambania kuonekana ni cheap raw material source wanaidhoofu shilingi ya Tanzania ili mataifa ya nje yapate soko la bei ya chini kwaajiri ya malighafi za viwanda vyao.
5. Uwekezaji wa kigeni na mtiririko wa fedha:
Kenya ina uwekezaji mkubwa wa moja kwa moja kutoka nje (Foreign Direct Investments) hasa kwenye sekta ya kifedha na teknolojia, ambazo zinapandisha mahitaji ya shilingi ya Kenya.
Tanzania bado tuna tatizo kubwa eneo la uwekezaji kwa kuvutia FDI's zaidi kwenye sekta za uchimbaji madini na wahandisi kwaajiri ya miundombinu, ambazo hazibadilishi sana thamani ya shilingi ya Tanzania kwa wananchi wa kawaida.
Kwa kuhitimisha tu niseme kwamba, pesa ya kenya ina nguvu zaidi kwa sababu ya mchanganyiko wa uzalishaji wa thamani ya juu, mapato ya kigeni, na historia ya sera za kifedha katika jamuhuri ya watu wa kenya wakati shilingi ya Tanzania ni dhaifu zaidi kwa sababu ya mfumuko wa bei wa muda mrefu, utegemezi wa mauzo ya malighafi badala ys huduma na bidhaa zenye zilizoongezwa thamani, na mkakati wa shilingi yenye thamani ya chini.
Tubadilike.
Exactly. Hapa kikwazo ni CCM,mkwere, ⌚💯 na Madelu.Kwa lugha rahisi TZ, ikitaka hata kesho inaweza kuweka thamani ya sarafu kuwa sawa au zaidi ya Kenya.
Kwa kutumia akiba ya dhahabu au Dollar reserves
Haina kikwazo.Exactly. Hapa kikwazo ni CCM,mkwere, ⌚💯 na Madelu.