Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?

Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Wakat tunafundishwa uchumi we kazi yako ilikuwa kuunguza ubuyu utuchome.
 
Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?

Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Ni jamboa la kiuchumi na tafsiri pana ya currency.. sio hivyo unavyofikiri
 
Kenya wanaongozwa na daktari aliyesoma kiukwelii wakati bongo tunaongozwa na daktari wa mchongo, hiyo ndio sababu!!.
 
Una bando??

Shida ya Wabongo, ni wavivu kusafiri hata ndani ya nchi tu.

TZ hakuna sehemun watu wanaishi hivi, haipo


View: https://youtu.be/phwyBzMUzik?si=RBCjGdFE31SUgPm2

Kenya watu wanaoishi hivyo ni mamilioni.


Endelea na usafiri wako. Ukifika wasalimie

😂😂😂😂😂

Hoja inajibiwa na hoja. Ukiona mtu analeta ujuaji, ndio wale wale. Wamekaa siti za mbele wanatungua ushuzi😂😂😂
 
We unachagua uchumi upi hapo wa kubeba hela nyingi mfukoni au noti chache zenye thamani kubwa!!
Dunia inaelekea kwenye digital payments na siyo kubeba CASH.

Ndio maana kuna LIPA NUMBER.
 
Tunauliza uchumi unaozalisha hiyo currency unatokana na nini,,, tupe uchumi wa Kenya unazalishwa na nini na kwa nguvu gani na utupe na Tz vilevile
Huwezi linganisha sekta ya viwanda Kenya na bongo,,Ubunifu, utalii,, elimu bora nk vyote Kenya inatuchapa fimbo mbali.
hujaelewa nilichosema.. rudia kusoma tena..
 
Endelea na usafiri wako. Ukifika wasalimie

😂😂😂😂😂

Hoja inajibiwa na hoja. Ukiona mtu analeta ujuaji, ndio wale wale. Wamekaa siti za mbele wanatungua ushuzi😂😂😂
Hoja ziko wapi??
 
Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu.
Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchumi
Jambo usilolijua ni vyema ukauliza kwanza upate tafsiri yake badala ya kukimbilia kutoa conclusion. Nani alikuambia kwamba thamani ya fedha ni moja kwa moja ndio uchumi? Wenye taaluma na akili zao wanakuchora, kwa ufupi umejionyesha ulivyo mweupe
 
1 Zambian Kwacha = 5.58 Kenyan shilling
Sasa nenda hapo Capital City LUSAKA ukashangae hiyo thamani ya pesa inatokana na Nini?
 
Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?

Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Umesoma uchumi mkuu ?
 
Toka nje ya nchi kidogo, ujue unabweka kama kimburu.

Huna unachojua.
Mi nawewe hatufanani nje ya nchi siyo nimeenda bali nimekaa ,,,Kenya ni hbr nyingine kuilinganisha na bongo yetu
 
1 Zambian Kwacha = 5.58 Kenyan shilling
Sasa nenda hapo Capital City LUSAKA ukashangae hiyo thamani ya pesa inatokana na Nini?
Hoja ni je!? Uchumi wa Kenya kulinganisha na bongo upi bora!?
 
Mi nawewe hatufanani nje ya nchi siyo nimeenda bali nimekaa ,,,Kenya ni hbr nyingine kuilinganisha na bongo yetu
Ni habari nyingine kwenye nini?

Toa hoja, unabweka tu.

Sarafu ya Lemya ina thamani kubwa kuliko sarafu ya Japan. Kwahiyo Kenya na uchumi mkubwa kuliko Japan??
 
Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?

Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Umenitonesha kidonda Mkuu. Nilikuwa nimeshausahau ukweli huu mchungu!
 
Uhuru tumewatangulia.
Kwa taarifa yako Kenya haijapata Uhuru.
Ardhi yetu kubwa,
Ni kweli ardhi yetu ni kubwa na ni ya kwetu.

Kenya hata ardhi iliyopo siyo ya kwao. Kwenye suala ardhi Kenya haina tifauti na nchi za Kusini mwa Afrika.
watu tunawazidi,
Tuna watu wengi ndio.
rasilimali tunawazidi.
Hii siyo kweli.


Kenya ina madini yote yakiyopo TZ isipokiwa Tanzanite, na ina mafuta. Ina mbuga za wayama, massai Mara, amboseli, na siyo landlocked (ina bandari, ya Mombasa na fukwe za Diani beaches)
Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?

Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Kenya haina chochote cha maana inachoizidi TZ
 
Ni habari nyingine kwenye nini?

Toa hoja, unabweka tu.

Sarafu ya Lemya ina thamani kubwa kuliko sarafu ya Japan. Kwahiyo Kenya na uchumi mkubwa kuliko Japan??
Nikuulize wewe!! Uchumi wa Japan utaujua kutokana na sekta zake za uzalishaji mfn viwanda nk. Sasa je! Katika sekta kama viwanda Tz inalingana na Kenya!? Je,sarafu ipi inaaminika na wafanyabiashara kati ya Kenya na Tz!?
 
Back
Top Bottom