Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

Kwa taarifa yako Kenya haijapata Uhuru.

Ni kweli ardhi yetu ni kubwa na ni ya kwetu.

Kenya hata ardhi iliyopo siyo ya kwao. Kwenye suala ardhi Kenya haina tifauti na nchi za Kusini mwa Afrika.

Tuna watu wengi ndio.

Hii siyo kweli.

Kenya ina madini yote yakiyopo TZ isipokiwa Tanzanite, na ina mafuta. Ina mbuga za wayama, massai Mara, amboseli, na siyo landlocked (ina bandari, ya Mombasa na fukwe za Diani beaches)

Kenya haina chochote cha maana inachoizidi TZ
Wanatuzidi ujanja na akili bwana wanajua fursa zilipo ulimwenguni kote
 
Ni habari nyingine kwenye nini?

Toa hoja, unabweka tu.

Sarafu ya Lemya ina thamani kubwa kuliko sarafu ya Japan. Kwahiyo Kenya na uchumi mkubwa kuliko Japan??
Sekta ya viwanda,,utalii ,elimu Kenya ni onother level anafukuzana na akina Morroco sie tupo tu!!
 
Nikuulize wewe!! Uchumi wa Japan utaujua kutokana na sekta zake za uzalishaji mfn viwanda nk. Sasa je! Katika sekta kama viwanda Tz inalingana na Kenya!?
Sekta ya viwanda Kenya ilikuwa kubwa enzi za sera yao ya ubepari na sisi tukajaribu ujamaa.

Ila tangu tumefungua soko huria, sekta yetu ya viwanda inakuwa kuliko Kenya.

Hata Kenya kwasasa una bidhaa nyingi tu mpka za Azam zinaenda Kenya.

Moja ya faida ya thamani ya sarau yako kuwa chini ni kuvutia wawekezaji wa viwanda.

TZ tuna umeme mwingi wa gharama ndogo kuliko Kenya. Watu wa viwanda ndio wanapenda.
Je,sarafu ipi inaaminika na wafanyabiashara kati ya Kenya na Tz!?
Sarafu inayoaminika ni Dola ya Marekani.

Hata mikopo wanayokopa nje inalipwa kwa Dola.
 
Hapo ni sawa na kusema kwanini kilomita moja ni sawa na mita 100...
Hata siku uchumi wa Tanzania ukiwa mkubwa kuliko nchi yeyote Africa bado Tshs itaingia mara kadhaa kwa pesa ya Kenya...
Hizo ni rates..

Hata USD inaingia mara kadhaa kwenye pesa za waarabu.. mfano KWD, Kuwait Dinar 1 ni sawa na 3.27 USD... lakini US ina uchumi mkubwa zaidi..

Shilingi ya Kenya imeimarika dhidi ya Shilingi ya Tz kwa karibia mara mbili ya thamani
 
Sekta ya viwanda,,
Sekta ya viwanda tunaelekea kuwazidi.
Utalii wa TZ unakuwa.

Namba za watalii unazoziona ni kwasababu Wakenya wanatapeli watalii kuwa watawaleta Ngorongoro, Kilimanjaro, Zanzibar na Serengeti kupitia KENYA AIRWAYS.

Wakishukia Kenya wanawahesabu. Ila mostly wanakuja TZ.

,elimu Kenya ni onother level anafukuzana na akina Morroco sie tupo tu!!
Elimu labda useme Kiingereza.
 
Sekta ya viwanda Kenya ilikuwa kubwa enzi za sera yao ya ubepari na sisi tukajaribu ujamaa.

Ila tangu tumefungua soko huria, sekta yetu ya viwanda inakuwa kuliko Kenya.

Hata Kenya kwasasa una bidhaa nyingi tu mpka za Azam zinaenda Kenya.

Moja ya faida ya thamani ya sarau yako kuwa chini ni kuvutia wawekezaji wa viwanda.

TZ tuna umeme mwingi wa gharama ndogo kuliko Kenya. Watu wa viwanda ndio wanapenda.

Sarafu inayoaminika ni Dola ya Marekani.

Hata mikopo wanayokopa nje inalipwa kwa Dola.
Tz tulikuwa na viwanda kipindi cha Nyerere je,vilikufaje!? ni akili ndogo ya wabongo,,, kuhusu sarafu nimekuuliza kuhusu tsh vs ksh ipi inaaminika zaidi ukiachilia mbali dola
 
Enzi zile shilingi tano ilikuwa na nguvu kichizi.

Btw wakenya wana viwanda vingi na wanaexport sana kuliko sisi.

Viongozi wa kibongo wanaona ni bora Kuua Tanganyika packers na kuanzisha kanisa!
 
Sekta ya viwanda tunaelekea kuwazidi.

Utalii wa TZ unakuwa.

Namba za watalii unazoziona ni kwasababu Wakenya wanatapeli watalii kuwa watawaleta Ngorongoro, Kilimanjaro, Zanzibar na Serengeti kupitia KENYA AIRWAYS.

Wakishukia Kenya wanawahesabu. Ila mostly wanakuja TZ.

Elimu labda useme Kiingereza.
We kweli Uvccm wakati Kenya mtoto anasoma Tehama kwa vitendo kuanzia primary school bingo unakutana nayo University tena kwa mbaaali!
 
Tz tulikuwa na viwanda kipindi cha Nyerere je,vilikufaje!? ni akili ndogo ya wabongo,,,
Hata Kenya hakuna viwanda vya umma.

Ni viwanda vya Wazungu.
kuhusu sarafu nimekuuliza kuhusu tsh vs ksh ipi inaaminika zaidi ukiachilia mbali dola
Kuaminikaje, maana ninachojua mfanyabiashara haachi pesa.

Ukienda mpakani pesa zote zinatumika
 
Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?

Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Nani kakudanganya thamani ya shilingi fulani ikizidiwa na nchi fulani ndo marndeleo? Rudi darasani kasome tena
 
We kweli Uvccm wakati Kenya mtoto anasoma Tehama kwa vitendo kuanzia primary school bingo unakutana nayo University tena kwa mbaaali!
Huijui Kenya kijana.

Hata TZ unaweza kupeleka mtoto shule wa hizo TEHAMA.
 
Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?

Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Wanatuzidi kitu gani? Sisi tuna mchumi wa madesa 1st class aka mgulu wa chemba
 
Nani kakudanganya thamani ya shilingi fulani ikizidiwa na nchi fulani ndo marndeleo? Rudi darasani kasome tena
Ng'ombe wa chama unasemaje!? Utwambie uchumi upi mnono kati ya Kenya na Tz alafu uje na mambo ya sarafu.
Ukitokq hapo eleza sekta zinazojenga thamani ya sarafu hizo unatokana na nini!?
Kama ni viwanda je,tz tunaizidi Kenya!?
Kama ni utalii je,bongo tunaizidi Kenya!?
Kama ni ubunifu je,bongo tunaizidi Kenya!? Elimu yetu nk.
 
Kenya wametupita karibu kila kitu hasa mambo ya kiuchumi hilo liko wazi
 
Anza na kushangaa kwamba ni haohao wakenya wanaandamana kwa kukosa ajira na maisha magumu, mpaka wanalalamika tukitunga sheria za kuzuia vinyozi na watu wanaofanya biashara za mpesa
Ajira hamna hata kwa wenye hela yenye nguvu mara 2400 zaidi yetu..
Siye tupambanie huku kwenye kuzidiwa mara 20 na Kenya,,,usiwe kama yule aliyesema kwamba hata Marekani bei ya Mafuta ni kubwa kuliko Tanzania...
Mapungufu ya wengine hayahalalishi yako...
 
Ng'ombe wa chama unasemaje!? Utwambie uchumi upi mnono kati ya Kenya na Tz alafu uje na mambo ya sarafu.
Ukitokq hapo eleza sekta zinazojenga thamani ya sarafu hizo unatokana na nini!?
Naona sias zimekukaa sana kichwani, halafu siasa uchwara. Sasa kama huna taaifa hizo siasa utazielewa kweli?

Kwani sekta gani zinachangia GDP Tanzania??
Kama ni viwanda je,tz tunaizidi Kenya!?
Kama ni utalii je,bongo tunaizidi Kenya!?
Hao hapo Lenya wanatangaza Ngorongoro,.unadhani hao watu wanakuja Kenya au watashukia Kenya tu??
Kama ni ubunifu je,bongo tunaizidi Kenya!? Elimu yetu nk.
Kenya kuna ubunifu gani??

Huijui Kenya kijana.

Hata TZ unaweza kupeleka mtoto shule wa hizo TEHAMA.
Hivi hata TEHAMA unajua maana yake au majanga,, Kenya inasomwa kwa vitendo katika shule za umma wakati bongo labda private school za bei ghari sana,,tofauti na hapo mpaka ufike chuo kikuuu napo hawafundishi ni maajabu unakutana na graduate wa bongo hajui kutumia kompyuta na hajawahi kumiliki passport( ushamba)
 
Tuache uprimitive pesa kuwa na thamani ndio nini while maisha yale yale,kenya imeizidi japan kwa kuwa na pesa yenye thamani so tuseme ndio wakenya wana maisha mazuri zaidi ya wajapan?
 
Hivi hata TEHAMA unajua maana yake au majanga,, Kenya inasomwa kwa vitendo katika shule za umma wakati bongo labda private school za bei ghari sana,,tofauti na hapo mpaka ufike chuo kikuuu napo hawafundishi ni maajabu unakutana na graduate wa bongo hajui kutumia kompyuta na hajawahi kumiliki passport( ushamba)
Ungekuwa umeona vi-clip kama hivi Kenya, ungekuwa unabweka hapa kama MWEHU.

Back
Top Bottom