- Thread starter
- #41
Hapa bongo uchumi ni jumuishi kivipi eleza,,,kama siyo wa wahindi na waarabu na mafisadi serikalini!?Afadhari uchumi mdogo ambao ni Jumuishi, Kuliko uchumi Mkubwa ambao ni wa wageni/Wachache kama SA au Kenya
Hapa bongo uchumi ni jumuishi kivipi eleza,,,kama siyo wa wahindi na waarabu na mafisadi serikalini!?Afadhari uchumi mdogo ambao ni Jumuishi, Kuliko uchumi Mkubwa ambao ni wa wageni/Wachache kama SA au Kenya
kwa hiyo unawaona akina Prof. Mkumbo Kitila wanavyohangaika na vision 2050 uchumi wa 255 upande kuungana na nchi zilizoingia uchumi wa kati ni wehu??Tabia ya kujilinganisha ni ya watu wenye akili ndogo
Uchumi haujengwi kwa kujilinganisha
Purchasing power ya mKenya na mbongo ipi bora!? Ombaomba wetu wanakimbilia Kenya kujipatia chochote wanajua Kenya watu Wana angalau ziada ya kutoa kuliko bongo.Afadhari uchumi mdogo ambao ni Jumuishi, Kuliko uchumi Mkubwa ambao ni wa wageni/Wachache kama SA au Kenya
Nilidhani unatafuta taarifa na uelewa kumbe unaleta misiasa uchwara ya kichoko.Ng'ombe wa mama acha uongo sasa mbona wawekezaji wanawekeza Marekani na Ulaya na China kuliko Afrika kama hoja ni hela yako kuwa chini kunavutia wawekezaji!? Wawekezaji si wangehamia wote Burundi!?
Sasa wewe unaleta kelele za wehu hapa,,maneno si malikwa hiyo unawaona akina Prof. Mkumbo Kitila wanavyohangaika na vision 2050 uchumi wa 255 upande kuungana na nchi zilizoingia uchumi wa kati ni wehu??
Hamna ukijuacho kama unasema uchumi wa bongo ni bora kuliko Kenya kweli kuna mtu hapo!?Nilidhani unatafuta taarifa na uelewa kumbe unaleta misiasa uchwara ya kichoko.
Emdelea kubweka kama mbwa koko.
Toka nje ya nchi kidogo, ujue unabweka kama kimburu.Hamna ukijuacho kama unasema uchumi wa bongo ni bora kuliko Kenya kweli kuna mtu hapo!?
Mkuu basi usiwaite wenzio wana akili ndogo wanapolinganisha uchumi wa Tz na KenyaSasa wewe unaleta kelele za wehu hapa,,maneno si mali
Sasa mkuu unataka kuwadanganya Akina nani? Watanzania? Chukua elfu 10 kanunue ugali na nyama choma! Kwa sababu tu kitu imeandikwa kiingereza unaona kina maana, hiyo kawadanye wajinga wenzio. Sisi tupo kwa ground na hiyo 10k haifanyi chochotePesa yako ikiwa na thamani kubwa wewe inakusaidia nini??
Thamani ya pesa ni ukubwa wa manunuzi unayoweza kufanya siyo NAMBA.
View attachment 3437708
Tunauliza uchumi unaozalisha hiyo currency unatokana na nini,,, tupe uchumi wa Kenya unazalishwa na nini na kwa nguvu gani na utupe na Tz vilevileHapo ni sawa na kusema kwanini kilomita moja ni sawa na mita 100...
Hata siku uchumi wa Tanzania ukiwa mkubwa kuliko nchi yeyote Africa bado Tshs itaingia mara kadhaa kwa pesa ya Kenya...
Hizo ni rates..
Hata USD inaingia mara kadhaa kwenye pesa za waarabu.. mfano KWD, Kuwait Dinar 1 ni sawa na 3.27 USD... lakini US ina uchumi mkubwa zaidi..
Wabiyo unafikiri mimi nakaa Ulaya au??Sasa mkuu unataka kuwadanganya Akina nani? Watanzania? Chukua elfu 10 kanunue ugali na nyama choma! Kwa sababu tu kitu imeandikwa kiingereza unaona kina maana, hiyo kawadanye wajinga wenzio. Sisi tupo kwa ground na hiyo 10k haifanyi chochote
Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Huna akili na hutaki kujifunza.Tunauliza uchumi unaozalisha hiyo currency unatokana na nini,,, tupe uchumi wa Kenya unazalishwa na nini na kwa nguvu gani na utupe na Tz vilevile
Huwezi linganisha sekta ya viwanda Kenya na bongo,,Ubunifu, utalii,, elimu bora nk vyote Kenya inatuchapa fimbo mbali.
Wabiyo unafikiri mimi nakaa Ulaya au??
Mimi nanunua nyama kila siku Kilo elfu 8-10.
Nikiwa mwenyewe nusu ni elfu 5.
Unga wa ugaki kilo 1,600.
Sukari, kilo 3,000.
Unabweka kama kiazi, wakati TZ kuna mpaka kodi ya nyumba chumba kimoja elfu 30,000.
Imeongelewa nyama choma kwenye mgahawa kiazi wewe! Ni mgahawa gani utapata nyama choma na ugali kwa 10k?Wabiyo unafikiri mimi nakaa Ulaya au??
Mimi nanunua nyama kila siku Kilo elfu 8-10.
Nikiwa mwenyewe nusu ni elfu 5.
Unga wa ugaki kilo 1,600.
Sukari, kilo 3,000.
Unabweka kama kiazi, wakati TZ kuna mpaka kodi ya nyumba chumba kimoja elfu 30,000.
Hapa ndio umeeleweka vyama kabisa.In short hizo pesa zina thamani sawa, au Milioni 20 ya TZ inaweza kufanya manunuzi ambayo 1M ya Kenya haiwezi kufanya Kenya.