Rushwa gani tena nduguKuna harufu ya samaki aliyeoza kwa rushwa hapa
. USSR
Subiri siku ifike alafu uje useme kama ni uongo au utekelezaji umefanyikaUWONGO UWONGO.
Safi sana,inamaana ndani ya miaka ya Rais Samia ukiacha bwawa la Nyerere ataingiza kwenye Gridi megawatt zingine 1000.Leo katika hafla ya utiaji saini mikataba yenye thamani ya shilingi Trilioni 1.9 ya kuongeza usambazaji wa umeme kwa wananchi na maeneo ya kimkakati. Waziri wa Nishati January Makamba alisema Serikali inamkakati wa kuongeza uzalishaji umeme "Tunaposema tunazalisha umeme wa Megawati 1,700 na tunaona unatosha hautoshi, ni kwamba tu haujawafikia wahitaji. Ukiwafikia wahitaji umeme tulionao ni mdogo mno"
Hivyo Serikali imejipanga kuzalisha umeme MW 5,000 ifikapo 2025 amesema "Tutafika Megawati 5,000 mwaka 2025, itakuwa ni zaidi ya mara tatu ya umeme uliopo leo."
Umeme utaenda kufufua fursa nyingi zaidi vijijini kipaumbele cha Serikali ya Rais Samia Suluhu ni kuhakikisha vijiji vyote Tanzania vinaendelea.
Uongo tena ,wivu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]UWONGO UWONGO.
Ifikapo 2025 Tanzania itakua kama Ulaya kila kona umeme Mungu ampe maisha marefu Rais wetu aendelee kuupiga mwingiSafi sana,inamaana ndani ya miaka ya Rais Samia ukiacha bwawa la Nyerere ataingiza kwenye Gridi megawatt zingine 1000.
Safi sana sio Jiwe maika yote anaimba habari za Stiglaz
Huyu jamaa amepofushwa kabisa na tamaa ya upigaji haoni kitu kingine chochote tena ndani ya akili zake..Leo katika hafla ya utiaji saini mikataba yenye thamani ya shilingi Trilioni 1.9 ya kuongeza usambazaji wa umeme kwa wananchi na maeneo ya kimkakati. Waziri wa Nishati January Makamba alisema Serikali inamkakati wa kuongeza uzalishaji umeme "Tunaposema tunazalisha umeme wa Megawati 1,700 na tunaona unatosha hautoshi, ni kwamba tu haujawafikia wahitaji. Ukiwafikia wahitaji umeme tulionao ni mdogo mno"
Hivyo Serikali imejipanga kuzalisha umeme MW 5,000 ifikapo 2025 amesema "Tutafika Megawati 5,000 mwaka 2025, itakuwa ni zaidi ya mara tatu ya umeme uliopo leo."
Umeme utaenda kufufua fursa nyingi zaidi vijijini kipaumbele cha Serikali ya Rais Samia Suluhu ni kuhakikisha vijiji vyote Tanzania vinaendelea.
Chini ya hawa watu, tegemea zaidi ya IPTL; changanya humo na hao wa gesi waliotutia adabu hivi karibuni mahakamani...isijekuwa ni IPTL nyingine.
Sasa hizo 1,300 mpya, ndizo zitakazotuletea shida kubwa, kwa sababu zote ni kutoka kwa vikampuni vya mifukoni vya hao hao akina Makamba, na mikataba yao ya kutuuzia hizo 1300 ndizo zitakazotunyonga kwa bei zao mbaya kabisa.Uongo tena ,wivu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Muwe na akili megawatt 5,000 zitatoka huku,
Za Sasa 1600,
Nyerere 2115,
New 1300 kutoka gas na vyqnzo vinginevyo kama upepo,joto Ardhi nk
Wakati mwingine Tabia ya mtu huakisi jina lake...mtu anaitwa MAKAMBA!!?UWONGO UWONGO.
Hahaha katutia kamba au sio?Wakati mwingine Tabia ya mtu huakisi jina lake...mtu anaitwa MAKAMBA!!?
UongoLeo katika hafla ya utiaji saini mikataba yenye thamani ya shilingi Trilioni 1.9 ya kuongeza usambazaji wa umeme kwa wananchi na maeneo ya kimkakati. Waziri wa Nishati January Makamba alisema Serikali inamkakati wa kuongeza uzalishaji umeme "Tunaposema tunazalisha umeme wa Megawati 1,700 na tunaona unatosha hautoshi, ni kwamba tu haujawafikia wahitaji. Ukiwafikia wahitaji umeme tulionao ni mdogo mno"