Sisi tulianza kubaguana kwanza halafu tumefuatia kuwabagua majirani. Huoni wanaCCM humu wanawaita Wakenya Mbwa?Yaani tumekuwa taifa la wabaguzi mpaka inatia huruma sio siku nyingi tuanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe
Kwani corona ukipima hapa ukifika Oman haupimi tena?Kwa hiyo tukishafanya huku wao wanatakiwa kupokea tu bila kuhoji?
Umejuaje kuwa ni mwanaccm?Sisi tulianza kubaguana kwanza halafu tumefuatia kuwabagua majirani. Huoni wanaCCM humu wanawaita Wakenya Mbwa?
Nisaidie kumuuliza maana wewe ndo mwenye Uzi, akikanusha naleta ushahidi.Umejuaje kuwa ni mwanaccm?
Wanapima, kwa hiyo Kenya nao wako sahihi kupima mahindi na kugundua yana aflotoxin?Kwani corona ukipima hapa ukifika Oman haupimi tena?
Si kauli tu, serikali yetu kila kitu kimebinafisishwa na siasa, taaluma zimesiginwa. Wataalamu wa kilimo hawana mchango katika uzalishaji mazao. Wako maofini, wakulima wanajihangaikia kivyao. Matokeo ndio kupata mazao duni na yasio kidhi viwango.Hatuwezi kupata soko jingine nje ya nchi kwa sababu Kenya wamesema Kwenye taarifa yao wamesema mahindi kutoka Tanzania yana sumu kuvu (aflatoxin) inayosababisha kansa. Sasa ni nchi gani itakubali kununua mahindi yetu watu wake wakaugue kansa?
Hili jambo ni matokeo ya uongozi wetu kuwa na kauli za kijinga kila wakati
Na wakikwama wanajikausha kama hawajawahi ongelea jambo kama hilo. Lina ulisikia tena serikali ikiongelea soko la mbaazi na korosho, kimya!Hoja kwamba tutauza nchi zingine nayo ni kujipa matumaini tu. Mbona 2017 tulihangaika kutafuta soko hadi mahindi yakaharibika? Hizo nchi zingine hazikuwepo? Tusitoe majibu mepesi kwa maswali magumu. Manji alipoacha kununua Mbaazi tulisema serikali itanunua na kupeleka huko anakopelekaga Manji. Lakini nini kilitokea? Bei imeporomoka kutoka 3,000/= hadi TZS 200/= kwa kilo. Korosho mnakumbuka pia kilichotokea? Kwahiyo tusijipe matumaini. Hali itakua mbaya.
Hili jambo uelewi lolote.
Kauli za kijinga za viongozi wetu ndio matokeo yake
Kutokana na 'comparative & competitive advantages" kila nchi imejaliwa kuwa na vitu muhimu ambapo nyingine haina. Kwa hiyo kila nchi hunufaika kiuchumi kupitia mahusiano mema ya nchi moja na nyingine.Kenya inaitegemea zaidi Tanzania katika nyanja mbalimbali kuliko Tanzania inavyoitegemea Kenya katika mambo machache sana hasa soko la nafaka na matunda.
Ni vema tukaendelea kuheshimiana maana aliyeshika mpini anajulikana.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama!
Mimi naongea Hao nguruweModerator / Mhariri / JamiiForums naomba hilo neno "Mbwa hawa" liondolewe.
Kenya ni Taifa la watu na sio taifa la mbwa. Tujifunze kutumia lugha nzuri na za staha
Wako sahihi.Wanapima, kwa hiyo Kenya nao wako sahihi kupima mahindi na kugundua yana aflotoxin?
Bwashee anzia Tarakea mpaka kwenu Marangu bidhaa karibu zote zinatoka KenyaKenya inaitegemea zaidi Tanzania katika nyanja mbalimbali kuliko Tanzania inavyoitegemea Kenya katika mambo machache sana hasa soko la nafaka na matunda.
Ni vema tukaendelea kuheshimiana maana aliyeshika mpini anajulikana.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee ndio maana nimekuambia Kenya inaitegemea zaidi Tanzania.Bwashee anzia Tarakea mpaka kwenu Marangu bidhaa karibu zote zinatoka Kenya
Huko tv na mitandao ni ya Kenya
Wewe Kenya huijui wala hupajui !Watanzania tunapenda kujifariji kwa kauli za ajabu sana.
Nilitaka kukuita mpumbavu nikaona haitatosha nikaamua kuacha.Huchagui jirani lakini kuwa jirani na Kenya ni bahati mbaya Mungu alitupa. Kenya ni washamba.. Wajuaji.. Pro wazungu.. Wana roho mbaya.. Ningekuwa mm Rais ningeimarisha uhusiano na nchi za sadc sana.. Hasa Zambia.. Mozambique.. Kuliko Kenya.. Mbwa hawa
Kenya inaitegemea zaidi Tanzania katika nyanja mbalimbali kuliko Tanzania inavyoitegemea Kenya katika mambo machache sana hasa soko la nafaka na matunda.
Ni vema tukaendelea kuheshimiana maana aliyeshika mpini anajulikana.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo dunia nzima inaiamini Kenya?!
Nimesema wanatutegemea uwe unaelewa bwashee!Kwa taarifa kenya wanafanya biashara kubwa sana ya matunda wanayonunua toka tanzania kwa sababu wametuzidi hata akili.
Wananunua kwetu bei chee wanafanya packing nzuri wanauza ulaya na uarabuni.
Sasa how tanzania tuwe vizuri wakati hata biashara tunayofanya na kenya wanatulalia