Tanzania tungekuwa mbali sana, Kikwazo ni CCM

Mzee unazeeka vibaya utazungumziaje milele wakati huko mbele haujui vijana wataenda vip kweli umewaza kuandika hivi aisee na ninyi ndio Wasomi..hata Nchi za madikteta ni ngumu kusema watatawala milele.
 
Tatizo siyo CCM tatizo ni jamii, tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende
 
Ila mkuu mbona mtoa mada kaongea ukweli, ila ulivyojibu sasa. Naona kaumri kanasogea sasa.
 
Mmmh! Bwana mayala kutawala milele?kwamba watanzania ushatudhalau kiasi hicho kweli,kwamba vizazi vyote vijavyo vitakua kama hiki cha sasa?
 
CHADEMA hamna jipya! Mara 💯 CCM iendelee kutawala kuliko chama kama CHADEMA
 
Jamani shida sio ccm shida utamuni wetu wa kuwa wanafiki, ambao umechangiwa na kukosa elimu bora. Imepelekea, uoga, ubinafsi, kukosa uajasiri wa kusema juu ya maendeleo ya kitaifa. Sio ccm,wala chadema hizi tabia kote zipo.
 

Hizi sahihi, hata uwe kilaza wa kutupwa, zinaonyesha zimewekwa na mtu mmoja. Angalia hizo "a", angalia hizo "j" angalia hizo "y", angalia hizo "i", angalia huo mwandiko wa sahihi.

Hivi mtu hata ukitaka kudanganya, si utumie akili kidogo basi?
 

Attachments

  • 1729578007701.png
    592.5 KB · Views: 1
Kikwazo ni watanzania wote sio CCM tu maana hata miji iliyoungozwa na chadema miaka ya nyuma hakuna walilofanya
Hapana, huwezi kuwalaumu Chadema wakati serikali kuu ilikuwa ya CCM. Kuwa na mbunge wa Chadema mahali wakati serikali ni ya CCM haisaidii. Hukuona Mbeya walivyosusiwa na serikali kuu hadi Raisi kwa kuwa tu walichagua upinzani? Hata fedha za miradi mnanyimwa, kwa sababu mbunge hana mamlaka ya kuamua fedha ziende jimboni mwake
 



CCM ni watu hatari sana. Pesa wanayoiba na relaxation ya kwamba wao wanashinda kila uchaguzi ndo inatuumiza. Tulipaswa kuwa mbali sana. Sina chama lakini CCM wamezoelea madaraka sana. Yaani hatukupaswa hata kidogo kuwa na shida ya maji kwenye maeneo mbali mbali. Au kuwa na jiji chafu chafu kama dar es salaam. Au kuwa na madarasa mabovu yaliyojaa vumbi, etc etc....ni aibu sana. Hatukupaswa kuwa na viongozi wanaofanya kazi kwa kauli ya rais.
 
Sasa mtu graduate wa University anajibu hoja hivi, sielewagi!! Hizi nchi nyingine zimelaaniwa
 
yaani unaacha kufanya kazi unailaumu ccm kwa lipi ? mbona enzio tuna kula bata na ccm hiii hiii? acha kulalamika kama demu we weakiume fanya kaz
 
Mbali kwani tunaenda wapi ? Fanya maendeleo kwenye familia yako
Kwanza masuala ya nchi waachie serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…