Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
takwimu hizo ni za awali tu, zitaendelea kubadilika kadiri ya yale maeneo ambayo kutokana na sababu za kimiundombinu orodha na idadi ya waliojiandikisha haijawasilishwa bado mahali panapohusika wizarani..Takwimu Zimeishapikwa tayari, Swali la Kujiuliza, hii idadi huyu Wazir wa CCM (Mkwe wa Raisi) ameitoa wapi!?.
Wakati Bado Zoezi la uandikishwaji Lilikua linaendelea Waziri huyu alitoa idadi ya Watu waliojiandikisha!. Pia zoezi hili halifanyiki kielektronik, Wamejumlisha Saa ngapView attachment 3132169View attachment 3132170View attachment 3132171
hata hivyo,
bado yapo maeneo mengine kutokana na changamoto mbalimbali, wanaendelea na zoezi la uandikishaji..
ni muhimu kua na subra na ustahimilivu sana.
mapema mwanzoni mwa mwezi Nov 2024, itatolewa taarifa ya mwisho ambayo sasa ndiyo itakayotumika kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa Nov 27.2024🐒