Nilishatumia miyandao yote, halotel ndiyo ilikua imebaki na vifurushi rafiki... Ila walichofanya leo ni uhuni wa hali ya juu kama wenzao waliopita... Kama lengo lao ni kupunguza ujazo wa kifurushi wapunguze na gharama

Kweli ni vifurushi vipya. Nishahama Halotel, Airtel na Tigo toka mwaka jana mwezi 10 baada ya kuwa wababaishaji kwenye bando za internet.
Nipo vodacom japo hairidhishi vifurushi lkn angalau kuliko hao wengine