Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

Habari ndio hiyo
Screenshot_20210402-212906_Instagram.jpg
 
Kwahiyo huwezi kuweka elfu 1 upate hizo MB 500 ambazo unatumia kufanya vitu uvipendavyo??
Nimesema hapo ni kwakujibana sana.

Nirud kwanye point kwa hali yangu ya uchumi siwezi weka vocha ya 1000 kila siku
 
Je, kama hutojali uko tayari nikusaidie kuweka hizo buku mpaka huu mwaka uishe?
 
Mmh ebu acha nisije kukuingiza kwenye gharama ya mambo yaliyo nje ya plan zako

ASANTE
Umeargue kistaarabu kama Msomi.. Tofauti na vijana wengine wa online wanaojivika utajiri na umashuhuri feki..

Kama kweli unatafuta kazi, Mungu atakusaidia na utapata kazi nzuri ya ndoto zako. Endelea kuwa positive..
 
Huwa sipend kuishi maisha ya kuigiza mtandaoni maana najua hawa hawa wamitandao n ndio ninao kutana nao barabaran na sehem nyingne, vip siku wakinijua mimi halis nilivyo ni tofaut na mimi wa mtandaoni itakuweje? Ni bora wajue ukwel tu kuwa mm nipoje maana haitapunguza thaman ya utu wangu
 
Mimi mwana forum nimeona niliweke kwenu tuchangie hili kumekuwa na changamoto ya gharama za vifurushi Vodacom hata kabla ya mhe. Kutoa tamko la bei moja yet imagine kwa line ya chuo 2017 tulipata GB2 mchana GB 2 usiku kwa 2500/- wakashusha hadi GB1 mchana moja usiku wakaja wakatoa usiku zikabaki gb 2 mchana hivi sasa tumefikia mb 100 kwa buku mitandao mingine wote washarudisha mabando ila wao tu washatuona shamba la bibi
 
Hii mitandao inazingua sana aisee
 
Back
Top Bottom