Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

Wale tuliokuwa tunatumia vifurushi rasmi vya Black Berry tujuane hapa maana watoto wa sasa hivi wanateseka sanaaaa
 
Huu upuuzi unaofanywa sasa, ni wakati saaa tuamue kufanya maamuzi magumu.

Kuanzia wiki ijayo, tukubaliane kutafuta mtandao mmoja ambao tutahamia huko.

Hii mingine ikipata maumivu, itajifunza na kukaa mezani na serikali na kuwaambia kuwa sisi sio wa ivyo...

Kama una wazo bora zaidi lete, usilete malalamiko hapa*
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tulia tu
 
Sigomi kipumbavu mimi my life is only first priority

Am capitalism bie
 
Acha watunyooshe wanajua sisi tupo pamoja ila sio wamoja

Acha watukule
 
Nawasilisha kama tujuavyo simu sasa imekuwa chanzo cha habri na kufanya biashara! Lakini wanacho hiyo mitando ya simu ni kuua biashara na si kukuza uchumi!

Faustine si waziri mwenye weledi bali anaegemea maslah yake binafs hana maana katika wizara hyo
 
Pumbavu wewe kweli nani kakwambia Mambo ya maana yanahitaji MB chache
Mambo ya maana hata kama yanahitaji MB nyingi hutaonea hasara kupoteza hata elfu 10 kufanikisha..

Nyie mnaopiga kelele ni mburulaz mnaoshindia mitandaoni kupiga umbeya na kuangalia video za ngono..
 
Wewe ulikuwa unatumia Internet kufanya nini? Nijibu hilo swali tuendelee na mjadala
  • Kusoma (academic materials): kujifunza kupitia majarida mbali mbali nilipokuwa chuo na baada ya kuhitim
  • Kujifunza mambo ya iman: kufatilia maubiri online, masomo ya dini YouTube, na kusoma majarida ya dini online
  • Kushare ideas na watu kama ninavyofanya humu
  • Napenda sana kufatilia biashara za mtandaoni (hasa kupatana na magroup ya fb ya biashara)
  • Kutafta /kufatilia update za matangazo ya ajira na yakuitwa kwenye usaili online yanapotoka
  • Entertainment
  • Kujifunza mambo mbali mbali ya computer software na kutafta usaidizi online wa matatizo ya computer software na hardware kabla sijaipeleka kwa fundi
  • Na mengne mengi
 
  • Kusoma (academic materials): kujifunza kupitia majarida mbali mbali nilipokuwa chuo na baada ya kuhitim
  • Kujifunza mambo ya iman: kufatilia maubiri online, masomo ya dini YouTube, na kusoma majarida ya dini online....
Kwahiyo wewe matumizi yako wastani ni MB au GB ngapi kwa siku??
 
Back
Top Bottom