Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Watu weweeeeImebd niingie halotel...kifurush cha 20000 mwez nilikuwa napata GB 22..sasa hv 9..aisee...bundle la usiku pia wametoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu weweeeeImebd niingie halotel...kifurush cha 20000 mwez nilikuwa napata GB 22..sasa hv 9..aisee...bundle la usiku pia wametoa
Tutateseka sanaZantel before and after View attachment 1741153
[emoji17]Tungekuwa na uwezo wa kuelewana nchi nzima hakuna kutumia internet hadi washushe bei tungewanyoosha
🤣🤣🤣🤣 acha nilie huku nacheka.Lieni [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]View attachment 1741155
Huko FB huwa unafanya nini? Nenda shamba kalime izalishe mali iwe nyumbuyaani hakuna kitu hapo GB1 inaishia FB tu mbona
we jems delicious una tabu,kwakuwa wewe una masponsa una haki yakufurahia,mtaji wako kuchamba vizurHuko FB huwa unafanya nini? Nenda shamba kalime izalishe mali iwe nyumbu
Ndio imetoka hiyo.. mwezi wa tano vinapandishwa tena mpaka nyie nyumbu na malaya wa mitandaoni mrudi kijijini kulima..we jems delicious una tabu,kwakuwa wewe una masponsa una haki yakufurahia,mtaji wako kuchamba vizur
Ghairi mkuuWananzengo na members wote JF na nje ya JF, yatupasa kupaza sauti kukinzana na utaratibu huu mpya wa vifurushi huu utakandamiza masikini.
Haiwezekani vifurushi vipande hivyo. Inaonekana hayo si mabadiliko bali ni ukandamizaji.
Serikali lione hili.
SAUTI YA WATANZANIA
View attachment 1740272
Mwezi huu wote wasukuma mmevurugwa, na mtabugia madikropa na paracetamol kumikumi washamba nyinyiNdio imetoka hiyo.. mwezi wa tano vinapandishwa tena mpaka nyie nyumbu na malaya wa mitandaoni mrudi kijijini kulima..
Hata unitukane na kupiga kelele vipi haitasaidia