Desire mobutu seseseko
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 987
- 1,426
ungese huuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka wasanii watunge wimbo??Huu ndio ulikua muda mzur sana sana kwa wasanii wetu na watu maarufu kupaza saut maana ni rais sana saut zao kusikika na viongoz na kuchukuliwa hatua ila cha ajabu weng wapo kimya utazan hawajui kinachoendelea wanaumia moyon hao hao ndio wanataka kushindana YouTube na insta ,ila ktk kutetea wanaowaangalia wavivu na wabinafs
Nambie Zantel wanasemaje mkuuWameikata speed sahizi hata kudownload haizidi 1MB per Sec,,, Tanzania nchi ya kiduanzi sana yani, viongozi wameweka madarakani kupigania maslahi ya wananchi ila badili yake wao wamegeuka waharibifu wa maisha ya raia! Ina boa sanaaaa
Zantel imeuzwa kwa Tigo wamekuwa viande tu naoNambie Zantel wanasemaje mkuu
Wakati dunia inaelekea 4th Industrial revolution na digital economy ''mnyonge'' anashabikia bando kupaa bei eti furaha yako watu wapungue tu.Vibaki hivi hivi au viongezeke zaidi. Mitandaoni kumejaa watu wengi wajinga sana
Bila shaka na wewe Ni mmoja wapoVibaki hivi hivi au viongezeke zaidi. Mitandaoni kumejaa watu wengi wajinga sana
Ata wakitunga nyimbo ok tu ,kama wanatunga nyimbo za kampen na maombolezo hawashindw kutunga nyimbo kwa mambo mengne cha msing ujumbe ufike haijalish watatumia njia ganUnataka wasanii watunge wimbo??
Karibu huku. Nimeshasahau kununua bando la internetDaaaah mie nahamia freebasics.com rasmi sasa
Serikali gani wakati vilipitishwa na wabunge .Wananzengo na members wote JF na nje ya JF, yatupasa kupaza sauti kukinzana na utaratibu huu mpya wa vifurushi huu utakandamiza masikini.
Haiwezekani vifurushi vipande hivyo. Inaonekana hayo si mabadiliko bali ni ukandamizaji.
Serikali lione hili.
SAUTI YA WATANZANIA
View attachment 1740272