digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu Nawewe anzisha Uzi wako Wa kuhamasisha katiba Mpya,kila mtu ana demands zake maishani,wewe hitaji lako ni katiba,huyu hitaji lake ni bando,Mimi hitaji langu ni ongezeko la mshahara.kwahiyo tusipangianeBadala ya kuhamasisha kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi wewe uko bize na vifurushi mkuu kweli?