Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Nilishatumia miyandao yote, halotel ndiyo ilikua imebaki na vifurushi rafiki... Ila walichofanya leo ni uhuni wa hali ya juu kama wenzao waliopita... Kama lengo lao ni kupunguza ujazo wa kifurushi wapunguze na gharama
Nimeshaachana na smart phone kuanzia leo, nipo kwenye simu ya kitochi.