Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiri nawao Vodacom maana kesho wanabadilisha nawaoKweli ni vifurushi vipya. Nishahama Halotel, Airtel na Tigo toka mwaka jana mwezi 10 baada ya kuwa wababaishaji kwenye bando za internet.
Nipo vodacom japo hairidhishi vifurushi lkn angalau kuliko hao wengine
Usipo simama wewe kama wewe usitegemee mbunge atakusaidia kwenye hiliTusubirie wabunge wa 'kishindo' kama watalipeleka hili kama dharula.
Japo kwao halina umuhimu maana prepaid zao za laki mbili ,tatu zishawalevya!
Mkuu Ukijitokeza tu wameishaa watarudi tu kama zamani.Inatakiwa ujitokeze mtandao mmoja msaliti uwanyoshe
Mimi sio mjinga, naombea gharama zipande maradufuUngekuwa si mmoja ya watumiaji wa mtandao ingekuwa bora
Most welcome,, wenzio sis wazoefu wa free basic Ila ukikuta mtu kapost usianze kulalamika amn picha sabab Kuna mda huwa tunatengwa ndugu yangDaaaah mie nahamia freebasics.com rasmi sasa
ngoja tusote mkuuNyie sindiyo mlimfata yule waziri wenu Ndungulile mkakubaliana kila mteja apate kifurushi sawa na pesa yake? Sasa haya ni badiliko yaliyotokana na yale malalamiko yenu kwa Ndungulile.
Kuweni wavumilivu hizo MB 60 kwa sh.200 ndiyo thamani ya pesa yenu mnayolipa plus kodi ya serikali, siku zote mlaji wa mwisho ndiyo anabeba mzigo wa kodi so lieni na punguzo la kodi mpate hiyo suluhu ya mipango yenu kama mlivyokua mnapost kwenye watsapp status baada ya kuteuana.