Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

Mzani utabalance siku zote, hata iweje, huwezi kuwapandishia watu gharama za uendeshaji halafu ukategemea mambo yawe vilevile, hii nchi ina mamlaka za udhibiti kama kumbikumbi, kazi kuomba rushwa tu, hizo rushwa ndio tunabebeshwa wateja sasa
 
Serikali yetu haipo vizuri aisee
 
TCRA angalieni upya haya masuala ya bando kinachofuata ni taasisi zitapata hasara kutokana na maamuzi yanayofanya.....

Ombi langu kwenu zipo taasisi ambazo daily zinatumia internet kwaajili ya kutoa huduma kwa wateja wake ambazo zinasaidia serikali kupata kodi pia msitizame mitandao ya kijamii na kuhisi Mitandao hiyo ndio inafaidika na mtandao Bali zipo taasisi nyingi zinatumia mtandao kufanya kazi.....

Ombi letu angalieni upya suala hili
Ombi pia kwa Moderator na mkuu Maxence Melo na wengine JamiiForums tunaomba uzi huu muupeleke kwenye mitandao yenu ya kijamii wanaweza sikia malalamiko haya.
 
Nashukuru JF imelisema hili
 
Back
Top Bottom