Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

Wameshiba hela
Mchawi ni serikali, wala msiwalaumu!!hata sijaelewa kwani ni nani aliyelalamika kuwa anapunjwa, kwani ilikuwa mnyonge, ndio analalamika, lakini mbona sana ni kama makampuni ndio yalikuwa yamelalamika, kwani ndio wamepewa point tatu!!!MNYONGEEE, majina mengine lazima yasadifu uhalisia wake, ujiite TABU/MATATIZO utegemee kuja kuwa na raha kweli.
 
Bora hata wewe unapata MB 200 kwa jero,mimi hapa nimepewa mb 110 saivi msg za whatsapp nazisomea kwenye notification,sifungui whatsapp kbsa.
 
Bora hata wewe unapata MB 200 kwa jero,mimi hapa nimepewa mb 110 saivi msg za whatsapp nazisomea kwenye notification,sifungui whatsapp kbsa.
yaani hapo kama una magroup mengi ni mwendo wa kujitoa
 
Wananzengo na members wote JF na nje ya JF, yatupasa kupaza sauti kukinzana na utaratibu huu mpya wa vifurushi huu utakandamiza masikini.

Haiwezekani vifurushi vipande hivyo. Inaonekana hayo si mabadiliko bali ni ukandamizaji.

Serikali lione hili.

SAUTI YA WATANZANIA

View attachment 1740272
Kudadeki yani voda nilikuwa napata gb 3 na mb 72 kwa sh. 3000 siku saba eti saa hivi naangalia ile menu nakuta gb 1.2 sh. 3000 siku 7 kuanzia leo mb zangu zikiisha hawanipati tena.
 
Kudadeki yani voda nilikuwa napata gb 3 na mb 72 kwa sh. 3000 siku saba eti saa hivi naangalia ile menu nakuta gb 1.2 sh. 3000 siku 7 kuanzia leo mb zangu zikiisha hawanipati tena.
Yaani tabu tupu MB za siku sawa na kilo ya nyama kweli
 
Tungekuwa na uwezo wa kuelewana nchi nzima hakuna kutumia internet hadi washushe bei tungewanyoosha
yaani ungekuwepo huo uwezo kingekua kitu cha busara sana.
Sema kuwezekana Ndo kazi
 
Back
Top Bottom