Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

Zantel before and after
IMG-20210402-WA0039.jpg
 
Vifurushi si kwa ajili ya wanyonge na bahati mbaya sana serikali ya wanyonge imekwenda na maji tuacheni mabeberu na mabwanyeye tuingie insta na twita

Nashauri bei za smartphone pia zianzie laki 4
 
bora wapandishe nawao
 
we jems delicious una tabu,kwakuwa wewe una masponsa una haki yakufurahia,mtaji wako kuchamba vizur
Ndio imetoka hiyo.. mwezi wa tano vinapandishwa tena mpaka nyie nyumbu na malaya wa mitandaoni mrudi kijijini kulima..

Hata unitukane na kupiga kelele vipi haitasaidia
 
noma kweli
 
Hakuna namna hii wizara ivunjwe ianze upya
Wanatukatili mno
 
Back
Top Bottom