Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo toka lini Magu alipambana na mafisadi? Hakuwahi kupambana na mafisadi bali alitumia ufisadi kama silaha ya kupambana na wasiotaka kumsujudia.Magufuli alivyokuwa akideal na mafisadi perpendicularly bila kupepesa macho mlifanyaje? Si mlianza kumwita dikteta uchwara? Eti hafati utawala wa sheria?
Ni hivi, no one takes seriously kelele za ufisadi kutoka kwa watu wale wale waliokuwa wakimponda Magufuli. You do not mean it nyie mnachoangalia ni kete tu za siasa.
Tunamsubiri kwa hamu sana Magufuli mwingine!