Tanzania tutunge sheria ya kunyonga hadharani wataobainika kufanya makosa ya ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma

Tanzania tutunge sheria ya kunyonga hadharani wataobainika kufanya makosa ya ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma

Huwezi Pambana na ufisadi ukiwa fisadi.
Ccm bila ufisadi haiwezekani.Tza fisadi afungwi ulipa faini mbuzi anaefungwa jela ni kibaka sababu hana pesa ya kumuhonga hakimu.
 
Magufuli alivyokuwa akideal na mafisadi perpendicularly bila kupepesa macho mlifanyaje? Si mlianza kumwita dikteta uchwara? Eti hafati utawala wa sheria?

Ni hivi, no one takes seriously kelele za ufisadi kutoka kwa watu wale wale waliokuwa wakimponda Magufuli. You do not mean it nyie mnachoangalia ni kete tu za siasa.

Tunamsubiri kwa hamu sana Magufuli mwingine!
Acha uongo toka lini Magu alipambana na mafisadi? Hakuwahi kupambana na mafisadi bali alitumia ufisadi kama silaha ya kupambana na wasiotaka kumsujudia.
Huwezi sema alipambana kwa kukuacha joka la makengeza,hili KILA dili zote kubwa lipo.
Waliotafuna nchi hii yafaa wapewe tuzo ni iddi simba,karamagi,chenge,basil mramba.
 
Back
Top Bottom