PostGE2025 Tanzania tuwazuie Diaspora uraia pacha rasmi

PostGE2025 Tanzania tuwazuie Diaspora uraia pacha rasmi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwani nani anaitaka hiyo special status?

Haya mambo unayaelewa au unadandia tu?
ahaaa ahaaaa nawasikia mnavyohangaikaga na dual citizen mno toka miaka hiyo 1995 nimekaa huko niaka hiyo 2001 mpaka 2012 story ndo ilikuwa hiyo hiyo hivyo hamna lolote la maana , ikawaonea huruma kuwapa special status bado jamaa zenu wa marekani wakaharibu process mnamjua ni nani leo kwa yaliyotokea juzi ndo msahau kabisa
 
Dual citizenship ya wapi? Huko shithole country serikali inapochinja raia wholesale kama kuku? Nije nifanye nini? Wanichinje na mimi?

Serikaki inachinja bila hata kujaki nani mpinzani wake nani chawa wake. Wamemuua mpaka Sheikh Majini chawa wao, nobody is safe.

Ndiyo nchi ya kulilia dual citizenship hiyo?

Do you think everybody is a sentimental fool?

Mimi nimefanya kazi Wall Street nimejenga resume, nimepewa offer kufanya kazi The goddamn US Federal Reserve, nikatae kwa sababu nasubiri Tanzania na ujinga wenu wa dual citizenship?

Unajua US Federal Reserve ni nini wewe?

Kuna wajinga wanashikilia upumbavu huo wa kutaka dual citizenship Tanzania bado?

Dual citizenship ya kuwa chini ya hawahawa chinjachinja wa CCM kina Makonda na Mwigulu na Samia au ya watu gani?

Wengine hata kuzikwa Tanzania tumekataa.

Dual citizenship Tanzania ni uharo gani huo?

Kama nataka kukaa nchi ya Africa si naenda hata Botswana hapo na $75,000 yangu napata uraia nafanya kazi zangu.

Kwani shida iko wapi?

Unanitishia uraia wa Tanzania?

Nimeondoka Tanzania miaka karibu 30 imepita na nimerudi mara moja tu kwenye shughuki ya famikia, na sina nia ya kurudi unless mtu wa karibu afariki. Unanitishia uraia wa Tanzania mimi?

Mimi nikiyejipiga "self imposed exile" tangu utawala wa Mkapa nikijua hapa mtachinjana tu kwa ujinga wenu?

Ndiyo unaniringishia dual citizenship mimi au hao wajinga wengine?

Unaelewa maana ya "the world is my oyster"?
 
Nimeona kwenye club house watu wengi wanaochochea watu kuandamana na kuichoma Tanzania ni Watanzania wanaoishi nje tena wengi wakiongea vingereza vyao vya kuokota okota na kutafuta via accent vya kuibia

NAISHAURI SERIKALI IFUTE KABISA ULE MPANGO WA URAIA PACHA, PILI HATA HADHI MAALUM IACHANE NAYO Hawa wajinga ikitokea wamerudi Tz kwa njia halali au haramu maana wengine wanaingilia boda kienyeji wakamatwe wafanyieni utafiti kwenye cm zao kama mhusika wa huu uhalifu huyo asirudi aneneeshe samaki kama hausiki aachiwe

Lakini ifike mahali wajue Tanzania sio choo cha mavi ni nchi imara
Huu mwaka haujaisha kenya wameingiza 1 trillion Ksh kutoka hela za diaspora zinazotumwa nyumbani. Hii ni sawa na 20 trillioni tshs, sisi wacha tuendelee kuuza kila kitu.

View: https://www.youtube.com/watch?v=wVOZ2m6nvEc
 
Dual citizenship ya wapi? Huko shithole country serikali inapochinja raia wh9lesale kama kuku? Nije nifanye nini? Wanichinje na mimi?

Kuna wajinga wanashikilia upumbavu huo bado?

Dual citizenship ya kuwa chini ya hawahawa chinjachinja wa CCM kina Makonda na Mwigulu na Samia au ya watu gani?

Wengine hata kuzikwa Tanzania tumekataa.

Dual citizenship Tanzania ni uharo gani huo?

Kama nataka kukaa nchi ya Africa si naenda hata Botswana hapo na $75,000 yangu napata uraia nafanya kazi zangu.

Kwani shida iko wapi?

Unanitishia uraia wa Tanzania?

Nimeondoka Tanzania miaka karibu 30 imepita na nimerudi mara moja tu kwenye shughuki ya famikia, na sina nia ya kurudi unless mtu wa karibu afariki. Unanitishia uraia wa Tanzania mimi?

Mimi nikiyejipiga "self imposed exile" tangu utawala wa Mkapa nikijua hapa mtachinjana tu kwa ujinga wenu?

Ndiyo unaniringishia dual citizenship mimi au hao wajinga wengine?

Unaelewa maana ya "the world is my oyster"?
sawa wewe bora ukae huko huko hata sisi hatuwataki kabisa kakae na kinyumba chako cha mbao sio kama umeshamaliza mortage ahaaa na mikopo yenu ya kila kitu mpaka iphone unakopa ahaaa ahaaaa , kwa hiyo umeshaanza kuvaa mabuti kutoa snow nje asubuhi?
 
Wewe kaa huko kila kitu unavunja sheria hata kuingia JF kwa VPN sasa hivi unavunja sheria ukishikwa unapewa kesi ya uhaini.

Naomba wakupige risasi na wewe kama Sheikh Majini na wewe ufie mbali huko good riddance to bad rubbish ndiyo ujue ujinga unaoutetea.

Bloody imbecilic idiot.
 
Nimeona kwenye club house watu wengi wanaochochea watu kuandamana na kuichoma Tanzania ni Watanzania wanaoishi nje tena wengi wakiongea vingereza vyao vya kuokota okota na kutafuta via accent vya kuibia

NAISHAURI SERIKALI IFUTE KABISA ULE MPANGO WA URAIA PACHA, PILI HATA HADHI MAALUM IACHANE NAYO Hawa wajinga ikitokea wamerudi Tz kwa njia halali au haramu maana wengine wanaingilia boda kienyeji wakamatwe wafanyieni utafiti kwenye cm zao kama mhusika wa huu uhalifu huyo asirudi aneneeshe samaki kama hausiki aachiwe

Lakini ifike mahali wajue Tanzania sio choo cha mavi ni nchi imara
Acha mawazo mgando na uoga,hivi sasa dunia kijiji uoga wa kutenda haki na kupenda maslahi binafsi ni ugonjwa unaolitafuna taifa badalaya kurekebisha shida unawaza kuongeza shida.
 
Acha mawazo mgando na uoga,vihisasa dunia kijiji uoga wa kutenda haki na kupenda maslahi binafsi ni ugonjwa unaolitafuna taifa badalaya kirekebisha shida unawaza kuongeza shida.
kuna watu huwa waankosoa serikali ndio na wanatoa alternative views shida kubwa ni kwa hawa wahuni ambao wao kazi yao ni moja kuchochea vurugu sasaa najiuliza ili iwe nini wakati hapa ndo kuna ndugu jamaa na wazazi wetu
 
Wewe ni mpumbavu huwezi kuzuia mabadiliko bado unaishi karne 10 uko mabadiliko hayazuiliki kwa kuchagua au kuogeza wizara ya vijana uko nyie ndo washauri Arabu spring wakati inatokea Tunisia Morocco na Egypt ulikua bado Viongozi wezi wahuni wanotumia vyombo vya dola kuumiza watu mda wao umeisha nambie Kosa la Polepole ni nini alimtukana nani?
 
kuna watu huwa waankosoa serikali ndio na wanatoa alternative views shida kubwa ni kwa hawa wahuni ambao wao kazi yao ni moja kuchochea vurugu sasaa najiuliza ili iwe nini wakati hapa ndo kuna ndugu jamaa na wazazi wetu
Wengine wana laana za wazazi wao wako huko, kwahiyo wanataka mharibikiwe wote.
 
Nao wanajiona wamarekani, ngoja Trump wendawazimu wake umpande aanze kuwarudisha huko, watatafuta pakufikia.
Serikali ambayo inawinda raia wake kama wanayama pori ni yakuodoa madarakani na kusafisha wahuni wote wahuni wote walio weka vyombo vya dola mfukoni mabadiliko lazima
 
Kweli nahisi hata na hivyo toka tarehe 29 nimeshaathirika kiakili nina hasira sana na mtu anayechochea vurugu au kufanya vurugu nahisi huko mbele ya safari naweza kufungwa kwa kujichukulia sheria mkononi yaani nikimuona mtu anahamasisha fujo nakupiga chuma tu maana wangejionea hali ilivyokuwa tarehe 30 na 31 tulizoea kuona kwenye TV tu
Kanye ulale
 
Mtabadilisha uchumi wa wachache. Msafara wa Samia ni mkubwa kuliko cha Ruto wakati Kenya ina uchumi mkubwa kuliko sisi. Hii ni akili au matope?
unajua kuna wakati tunalalamika bila kujua ukweli , naomba nikuhakikishie mfano , akija mbeya ni kweli huwa tunaitana wafanya biashara tunaunga msafara kumpokea kwa sababu ni sehemu ya kufikisha kero zetu, ccm mkoa huwa wanagharamia karibu kila kitu na huwa wadau wanjitolea enzi mzee mwaji ni mwenyekiti wa mkoa tulikwa tunachangisha mpka milioni 100 ya mafuta sio gharama za serikali,

2. ILA NI UKWELI KABISA SERIKALI YETU BADO INA MATUMIZI MAKUBWA SANA TUMESHAANDIKA SANA LAKINI SASAHIVI NAHISI KUTAKUWA NA MABADILIO
 
Back
Top Bottom