PostGE2025 Tanzania tuwazuie Diaspora uraia pacha rasmi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huu mwaka haujaisha kenya wameingiza 1 trillion Ksh kutoka hela za diaspora zinazotumwa nyumbani. Hii ni sawa na 20 trillioni tshs, sisi wacha tuendelee kuuza kila kitu.

View: https://www.youtube.com/watch?v=wVOZ2m6nvEc

Diaspora ni muhimu sana, tungekuwa tuna good politics and policies za diaspora, nchi ingeweza kuingiza pesa kuliko utalii na gold combined, lakini kwa akili na attitude za baadhi ya wachangiaji humu na CCM inaonekana bado wako clueless na wanaishi Cold War era
 
sio kwa hawa diaspora wetu ambao wengi ni wabeba mabox, walezi wa wazee, madereva uber na watu wa kusubiri welfare professionals ni wachache sana, labda tuwe tunapitia CV za watu kwanza ndo tumpe uraia pacha
 
Hizi akili ndio maana nchi ni maskini na imejaa rushwa na uvunjaji wa haki, hongera kwa kuendelea kurudisha Taifa nyuma
 
sio kwa hawa diaspora wetu ambao wengi ni wabeba mabox, walezi wa wazee, madereva uber na watu wa kusubiri welfare professionals ni wachache sana, labda tuwe tunapitia CV za watu kwanza ndo tumpe uraia pacha
Hujazunguka dunia ndugu kuna watanzania wanafanya kazi Google,Microsoft, Boeng na Airbus. Kuna watanzania wanamiliki biashara US na Ulaya. Kuna watanzania wanashinda tender na kufanya biashara na serikali ya Marekani.
 
Diaspora ni muhimu sana, tungekuwa tuna good politics and policies za diaspora, nchi ingeweza kuingiza pesa kuliko utalii na gold combined, lakini kwa akili na attitude za baadhi ya wachangiaji humu na CCM inaonekana bado wako clueless na wanaishi Cold War era
Acha tu , tuna nchi ambayo haiheshimu rasilimali. Human resource is very important. Tumefika Stage ambapo mwenye masters ya Warwick yuko gerezani halafu aliyefeli form four ni rais wa nchi.
 
Nimeona kwenye club house watu wengi wanaochochea watu kuandamana na kuichoma Tanzania ni Watanzania wanaoishi nje tena wengi wakiongea vingereza vyao vya kuokota okota na kutafuta via accent vya kuibia

NAISHAURI SERIKALI IFUTE KABISA ULE MPANGO WA URAIA PACHA, PILI HATA HADHI MAALUM IACHANE NAYO Hawa wajinga ikitokea wamerudi Tz kwa njia halali au haramu maana wengine wanaingilia boda kienyeji wakamatwe wafanyieni utafiti kwenye cm zao kama mhusika wa huu uhalifu huyo asirudi aneneeshe samaki kama hausiki aachiwe

Lakini ifike mahali wajue Tanzania sio choo cha mavi ni nchi imara
Mawazo yako ni mawazo mazuri, lakini kama unataka mawazo yako yaheshimiwe, na wewe vilevile heshimu mawazo ya wengine
 
Hujazunguka dunia ndugu kuna watanzania wanafanya kazi Google,Microsoft, Boeng na Airbus. Kuna watanzania wanamiliki biashara US na Ulaya. Kuna watanzania wanashinda tender na kufanya biashara na serikali ya Marekani.
ndugu nimesoma Marekani na Canada baadae nikafanya kazi Toronto sub ub Brampton miaka 6 baadae Netherland, Tunajuana haswa nikisema hivi naongelea by percentage ebu nipe No ya professionals 20 tu Toronto kati ya elfu karibu 8000 ? au biashara gani ya Mtanzania pale hata baaa ni ya mkenya Qeens ya hakuna matata , zaidi ya kusubiria Afro fest wakapige picha na vimechi vyao vya yanga na simba hakuna lolote ndugu , Wa USA ndo kabisa wanajificha balaa robo tatu wanaishi basement ahaaa ahaa kazi zeyewe sasa
 
Acha tu , tuna nchi ambayo haiheshimu rasilimali. Human resource is very important. Tumefika Stage ambapo mwenye masters ya Warwick yuko gerezani halafu aliyefeli form four ni rais wa nchi.
Kwenye siasa ndo ilivyo hata nchi kubwa kubwa ndo hivyo mara nyingi wanasiasa wanawatawala wasomi kwa sababu kazi ya siasa inapenda uongo , unafki , makundi
 
Kweli nahisi hata na hivyo toka tarehe 29 nimeshaathirika kiakili nina hasira sana na mtu anayechochea vurugu au kufanya vurugu nahisi huko mbele ya safari naweza kufungwa kwa kujichukulia sheria mkononi yaani nikimuona mtu anahamasisha fujo nakupiga chuma tu maana wangejionea hali ilivyokuwa tarehe 30 na 31 tulizoea kuona kwenye TV tu

Sasa fikiria wale ambao mmewaulia ndugu zao na watoto wao wana hasira kiasi gani!!
 
ndugu naelewa sana concerned ya watu lakini bahati mbaya mimi nipo Tanzania biashara za majirani zangu zimepata matatizo sana na vijana hawakuwa waandamanaji fikiria katikati yetu tuna tawi la CRDB waliataka kuvamia ATM na kuchoma wamefukuzwa 4 times within two days bado Ofisi ya tajiri no wa mpunga Tanzania Raphael group walihangaika nalo karibu mara tatu wakidai la Tulia akson wangefanikiwa tu kuchoma kwake sisi wengine tunapakana naye tungeunguliwa pia ndo tukajitolea kupiga piga risasi wasikaribie na bado hawaasikii saa nane usiku hao wamerudi tena , siku 4 watu hatujalala sasa kwa nini mnaowaoneaga huruma? kwa upande wangu kweli kutoka ndani ya moyo wangu nina hamu hata walioshikwa wauawawe ili iwe fundisho wale ni majambazi kabisa , wachache walipigwa bahati mbaya
 
ndugu nimesoma Marekani na Canada baadae nikafanya kazi Toronto sub ub Brampton miaka 6 baadae Netherland, Tunajuana haswa nikisema hivi naongelea by percentage ebu nipe No ya professionals 20 tu Toronto kati ya elfu karibu 8000 ? au biashara gani ya Mtanzania pale hata baaa ni ya mkenya Qeens ya hakuna matata , zaidi ya kusubiria Afro fest wakapige picha na vimechi vyao vya yanga na simba hakuna lolote ndugu , Wa USA ndo kabisa wanajificha balaa robo tatu wanaishi basement ahaaa ahaa kazi zeyewe sasa
Wewe umesoma mimi nimefanya kazi marekani, Ujerumani na Uk. Nimekutana na watanzania wako juu sana. Kuna watanzania wana nyumba zao na biashara zao kabisa.
 
nitajie jina la biashara ya mtanzania kubwa marekani au canada ndo naweza kufuatilia hata leo bado nimeacha watu kibao , nasikitika wengi unakuta hata nyumba anaijenga bongo kwa miaka karibu 10 kijumba cha milioni 200 tu
 
raia wa nchi gani wewe uamue ? mbona hamjaamua toka 1995 mnalilia hicho hicho?
We dogo mi nishavurugika naona wenge kinoma yanayoendelea nchini achana na Mimi kabisa Sitaki kuijizidisha stress hiizi basi pumbav mmoja wew
 
ndugu nimesoma Marekani na Canada baadae nikafanya kazi Toronto sub ub Brampton miaka 6 baadae Netherland, Tunajuana haswa nikisema hivi naongelea by percentage ebu nipe No ya professionals 20 tu Toronto kati ya elfu karibu 8000 ? au biashara gani ya Mtanzania pale hata baaa ni ya mkenya Qeens ya hakuna matata , zaidi ya kusubiria Afro fest wakapige picha na vimechi vyao vya yanga na simba hakuna lolote ndugu , Wa USA ndo kabisa wanajificha balaa robo tatu wanaishi basement ahaaa ahaa kazi zeyewe sasa
Nimeanza kuamini kuipenda CCM qualification ya kwanza lazima usiwe na akili, and I doubt kama umeishi any country ambayo ni capitalistic,open and progressive like US or Canada, labda kama ulikuja short course kula pesa za mafisadi , bro una akili za ovyo sana mpaka unatisha
 
Nimeona kwenye club house watu wengi wanaochochea watu kuandamana na kuichoma Tanzania ni Watanzania wanaoishi nje tena wengi wakiongea vingereza vyao vya kuokota okota na kutafuta via accent vya kuibia

NAISHAURI SERIKALI IFUTE KABISA ULE MPANGO WA URAIA PACHA, PILI HATA HADHI MAALUM IACHANE NAYO Hawa wajinga ikitokea wamerudi Tz kwa njia halali au haramu maana wengine wanaingilia boda kienyeji wakamatwe wafanyieni utafiti kwenye cm zao kama mhusika wa huu uhalifu huyo asirudi aneneeshe samaki kama hausiki aachiwe

Lakini ifike mahali wajue Tanzania sio choo cha mavi ni nchi imara
mbona hapa bongo hali ni hiyo, sema akuna uhuru wa habari na haki za kiraia, watu wanaongea mioyoni. SAsa wahamisheni nchi nao
 
Wakati nakuja enzi enzi hizo nilikuwa kijana zana 21 nilikuwa na veru high expectations , IOWA luther college niakahisi labda kwa sababu chuo cha bei sana labda ndo maana wabongo siwaoni kwenya York University nikamaliza nikaingia mtaani kufanya kazi 8 yrs sio michache ndugu na kwa ujana nilikuwa nawatafuta sana washkaii waliofanikiwa nitenegneze alliances na networking ya Diaspora professionals ili by 2010 au 2015 ningekomaa kupitia upinzani , enzi hizo mbowe Dr slaa zito walifanya kazi kubwa sana ya kutufanya tuipende siasa za hoja mbadala siiti upinzani, Sasa kuwatafuta hao watanzania ndo ilikuwa shida ,North York, Oakvile , Misssisauga, Markham kila holaaa nakutana na watu wana story za ajabu na maono madogo mpka nikahama zangu baadae nikarudi bongo na kweli hapa am a KING NOW , Japo siasa sitaki tena ina uongo na unafki sana na maushirikina mtupu
 
mbona hapa bongo hali ni hiyo, sema akuna uhuru wa habari na haki za kiraia, watu wanaongea mioyoni. SAsa wahamisheni nchi nao
kweli kabisa kuna vitu CCM ya samia inachemka sana na nimemsikiliza leo na baraza lake la mawaziri kweli nimesikitika amefumba masikio kabisa haskilizi tena wananchi , tutamkosoa sana sana ila watu wasichome mali za watu binafsi tu
 
We dogo mi nishavurugika naona wenge kinoma yanayoendelea nchini achana na Mimi kabisa Sitaki kuijizidisha stress hiizi basi pumbav mmoja wew
AAHAAA AHAAA HAYA NAKIMBIA ZANGU FANYENI MAANDAMANO SAHIHI TAFUTENI NJIA NZURI YA KUPAZA SAUTI ZENU LAKINI MSICHOME MALI ZA WATU BINAFSI, BORA MAJENGO YA CCM TENA MSIGUSE VITU VYA PUBLIC TUTAUMIA WOTE
 
Nimeona kwenye club house watu wengi wanaochochea watu kuandamana na kuichoma Tanzania ni Watanzania wanaoishi nje tena wengi wakiongea vingereza vyao vya kuokota okota na kutafuta via accent vya kuibia

NAISHAURI SERIKALI IFUTE KABISA ULE MPANGO WA URAIA PACHA, PILI HATA HADHI MAALUM IACHANE NAYO Hawa wajinga ikitokea wamerudi Tz kwa njia halali au haramu maana wengine wanaingilia boda kienyeji wakamatwe wafanyieni utafiti kwenye cm zao kama mhusika wa huu uhalifu huyo asirudi aneneeshe samaki kama hausiki aachiwe

Lakini ifike mahali wajue Tanzania sio choo cha mavi ni nchi imara
Na machawa kama nyie tuwafukuze nje ya nchi
 
Back
Top Bottom