PostGE2025 Tanzania tuwazuie Diaspora uraia pacha rasmi

PostGE2025 Tanzania tuwazuie Diaspora uraia pacha rasmi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wakati nakuja enzi enzi hizo nilikuwa kijana zana 21 nilikuwa na veru high expectations , IOWA luther college niakahisi labda kwa sababu chuo cha bei sana labda ndo maana wabongo siwaoni kwenya York University nikamaliza nikaingia mtaani kufanya kazi 8 yrs sio michache ndugu na kwa ujana nilikuwa nawatafuta sana washkaii waliofanikiwa nitenegneze alliances na networking ya Diaspora professionals ili by 2010 au 2015 ningekomaa kupitia upinzani , enzi hizo mbowe Dr slaa zito walifanya kazi kubwa sana ya kutufanya tuipende siasa za hoja mbadala siiti upinzani, Sasa kuwatafuta hao watanzania ndo ilikuwa shida ,North York, Oakvile , Misssisauga, Markham kila holaaa nakutana na watu wana story za ajabu na maono madogo mpka nikahama zangu baadae nikarudi bongo na kweli hapa am a KING NOW , Japo siasa sitaki tena ina uongo na unafki sana na maushirikina mtupu
Kumbe ulifeli US 😂😂😂 ndio maana una hasira, wenzako waliona mbali hawakupoteza muda na degree za History na connections za hovyo, wengi madaktari, Engineers etc na wengine unaowaita wabeba box ni truckers, mechanics, plumbers etc wanapiga hela kuliko wezi wenu mnaowaabudu
 
WEWEEEEE UFELI BBA uruhusiwe kusoma schulic Business school? unaota wewe yaani wataaalamu wanahesabika kati ya watu laki 1 hawafiki 300 bongo mtu wa elimu hyo hiyo anatengeneza wealth mara 4 kwa sababu na gharama za kuishi ni rahisi na wezeshi , siwadharau sana lakini sio kama wanavyotaka kujipa umuhimu nawafahamu mno na ndo maana hawakupewa wangeikuwa muhimu serikali ingeshawakimbilia , Haya juzi tu TCB na TIC sijui TIZEBA wamefanya mkutano huko Toronto na Calgary walitaka angalau wakopaji 100 wa nyumba applicant nasikia hawafiki hata 3 mpaka sasa
 
Nimeona kwenye club house watu wengi wanaochochea watu kuandamana na kuichoma Tanzania ni Watanzania wanaoishi nje tena wengi wakiongea vingereza vyao vya kuokota okota na kutafuta via accent vya kuibia

NAISHAURI SERIKALI IFUTE KABISA ULE MPANGO WA URAIA PACHA, PILI HATA HADHI MAALUM IACHANE NAYO Hawa wajinga ikitokea wamerudi Tz kwa njia halali au haramu maana wengine wanaingilia boda kienyeji wakamatwe wafanyieni utafiti kwenye cm zao kama mhusika wa huu uhalifu huyo asirudi aneneeshe samaki kama hausiki aachiwe

Lakini ifike mahali wajue Tanzania sio choo cha mavi ni nchi imara
Utakuwa miongoni mwa watakaoomba hifadhi nchi za wenyewe.

Yajayo yanahuzunisha. Ni swala la muda utaomba ukimbizi Amini hili!

Utafakari moyo wako.
 
Utakuwa miongoni mwa watakaoomba hifadhi nchi za wenyewe.

Yajayo yanahuzunisha. Ni swala la muda utaomba ukimbizi Amini hili!

Utafakari moyo wako.
nimwachie nani nchi nzuri hivi?
 
Nimeona kwenye club house watu wengi wanaochochea watu kuandamana na kuichoma Tanzania ni Watanzania wanaoishi nje tena wengi wakiongea vingereza vyao vya kuokota okota na kutafuta via accent vya kuibia

NAISHAURI SERIKALI IFUTE KABISA ULE MPANGO WA URAIA PACHA, PILI HATA HADHI MAALUM IACHANE NAYO Hawa wajinga ikitokea wamerudi Tz kwa njia halali au haramu maana wengine wanaingilia boda kienyeji wakamatwe wafanyieni utafiti kwenye cm zao kama mhusika wa huu uhalifu huyo asirudi aneneeshe samaki kama hausiki aachiwe

Lakini ifike mahali wajue Tanzania sio choo cha mavi ni nchi imara
Wamekusikia wamekufikia.

G-7R2t0W0AA9ZPc.jpg
 
Back
Top Bottom