Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
wangemsikiliza HPP wasingejikuta walipo leo!Wengine wana laana za wazazi wao wako huko, kwahiyo wanataka mharibikiwe wote.
wangemsikiliza HPP wasingejikuta walipo leo!Wengine wana laana za wazazi wao wako huko, kwahiyo wanataka mharibikiwe wote.
Wachochezi wenyewe kumbe wako nje, kwenye radio za club house, wana viingereza vibovu na vi accent vya kuibia, kwa nini wawashinde ushawishi kwa watu wenu ??????Nimeona kwenye club house watu wengi wanaochochea watu kuandamana na kuichoma Tanzania ni Watanzania wanaoishi nje tena wengi wakiongea vingereza vyao vya kuokota okota na kutafuta via accent vya kuibia
watu wanatabia ya kupenda vya nje hiyo ni human psychology nilitegemea wangekuwa wanatoa ushauri mzuri wa kujenga wa kuliunganisha taifa na kukemea uovu kwa njia halali lakini wao ni kuhamasisha kila mtu atoke wewe toka tu we gonna support you by any means what? why? eti tjsi time tubebe silaha za kujinda tukabiliane ana kwa ana na polisi kweli? Dar nasikia ni gari 4 tu zilituliza vichaa wote wale hawafiki hata askari 50 kwa sabau waliruhusiwa kujilinda kwa risasi za moto kwa hiyo kushindana ni ngumu, walishawishiana ohhh mkitoka wati 500 serikali ina collapse , haya walitoka karibu elfu 30 na walirudi ndani wote tarehe 1 pakawa kimyaaaaaSasa wachochezi wenyewe kumber wako nje, kwenye radio za club house, wana viingereza vibovu na vi accent vya kuibia, kwa nini wawashinde ushawishi kwa watu wenu ??????
Nyinyi mko Tanzania. Vyombo vya habari vya kwenu. Kiingereza nyinyi mnakijiua diaspora wanaunga unga Kiingereza.
Mnashindwa nini sasa kuwa convince Watanganyika wasikilize ya kwenu waachane na ya diaspora ???????
Mtu mmoja anaongea kupitia ki video cha simu akiwa jikoni kwake California, Taifa linamsikiliza, nyinyi mko Ikulu, mnaandikiwa ma spichi na wataalam, halafu bado yanaonekana ni garbage tupu kwa Watanzani. Kwa nini mnaongea garbage tupu mpaka zinakataliwa na Watanganyika ??????????
walikuwa watuliza ghazia zilizosababishwa na kuchochewa na diasporaHawa wahuni walioua watu ni diaspora?
View attachment 3502352
walikuwa watuliza ghazia zilizosababishwa na kuchochewa na diaspora
mimi siguswi kwa sababu sishiriki uhalifu na sijipeleki peleki kwenye mititiWewe kaa huko kila kitu unavunja sheria hata kuingia JF kwa VPN sasa hivi unavunja sheria ukishikwa unapewa kesi ya uhaini.
Naomba wakupige risasi na wewe kama Sheikh Majini na wewe ufie mbali huko good riddance to bad rubbish ndiyo ujue ujinga unaoutetea.
Bloody imbecilic idiot.
raia wa nchi gani wewe uamue ? mbona hamjaamua toka 1995 mnalilia hicho hicho?Kwanza Tanzania haipo Mimi nilishafuta naijua Tanganyika halafu suala la uraia sio kazi yenu sisi wananchi ndio tutaamua katka katiba ya umma, Fala mmoja wew
sawa nimeshajisaidia nimerudi kulalaKanye ulale
njia sahihi ni kuchoma vitu na kuvamia biashara za watu binafsi ? kwa nini wasingeandamana kama nchi zingine zinavyofanya wanaandaman na ujumbe tu , halafu kwa nini siku ya uchaguzi ? washenzi kabisa nia ilikuwa ufanya uhalifu majambaziWewe hanithi na boga kweli. Kwa uyekaji na mauaji ya serikali kabla 29 oct hukuyaona??? Serikali inanyona nchi na kuuza urithi kushoto kulia wewe unaona poa??? Sio bure, mijitu kama nyie hamkosekani katika jamii ma toilet paper. Funga bakuli lako. Stupid!!!!
Traffic nao wakabeba bunduki wakaanza kuua raia..njia sahihi ni kuchoma vitu na kuvamia biashara za watu binafsi ? kwa nini wasingeandamana kama nchi zingine zinavyofanya wanaandaman na ujumbe tu , halafu kwa nini siku ya uchaguzi ? washenzi kabisa nia ilikuwa ufanya uhalifu majambazi
Hata Sheikh Majini alisema hivyo hivyo akapigwa shaba.mimi siguswi kwa sababu sishiriki uhalifu na sijipeleki peleki kwenye mititi
ohhh sikujua kumbe kuna hiyo tabia basi ni yakoAcha kujipiga vidole mkunduni na kujinusa...