PostGE2025 Tanzania tuwazuie Diaspora uraia pacha rasmi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kumbe ulifeli US πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio maana una hasira, wenzako waliona mbali hawakupoteza muda na degree za History na connections za hovyo, wengi madaktari, Engineers etc na wengine unaowaita wabeba box ni truckers, mechanics, plumbers etc wanapiga hela kuliko wezi wenu mnaowaabudu
 
WEWEEEEE UFELI BBA uruhusiwe kusoma schulic Business school? unaota wewe yaani wataaalamu wanahesabika kati ya watu laki 1 hawafiki 300 bongo mtu wa elimu hyo hiyo anatengeneza wealth mara 4 kwa sababu na gharama za kuishi ni rahisi na wezeshi , siwadharau sana lakini sio kama wanavyotaka kujipa umuhimu nawafahamu mno na ndo maana hawakupewa wangeikuwa muhimu serikali ingeshawakimbilia , Haya juzi tu TCB na TIC sijui TIZEBA wamefanya mkutano huko Toronto na Calgary walitaka angalau wakopaji 100 wa nyumba applicant nasikia hawafiki hata 3 mpaka sasa
 
Utakuwa miongoni mwa watakaoomba hifadhi nchi za wenyewe.

Yajayo yanahuzunisha. Ni swala la muda utaomba ukimbizi Amini hili!

Utafakari moyo wako.
 
Utakuwa miongoni mwa watakaoomba hifadhi nchi za wenyewe.

Yajayo yanahuzunisha. Ni swala la muda utaomba ukimbizi Amini hili!

Utafakari moyo wako.
nimwachie nani nchi nzuri hivi?
 
Wamekusikia wamekufikia.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…