Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ndio pointi yangu kama kuajiriwa tu unashindwa kuperfom basi kujiajiri ndio huwezi kabisa kwa sababu kunahitaji nidhamu ya hali ya juu sanaHakuna atakaejitoa ajiran kama mvivu. Mana kujiajiri hakuhitaji relax hata second. Watu wanaopambana kwenye kujiajiri wanafanikiwa sana. Hii nimeona kwa mzee moja hiv amejiajiri Ana kampuni 3 lakin kulala kwake kwa machale pampja na kuwa na wafanyakaza zaid ya 50
Akili tegemezi kama hizi, lazima ziwe utumwani tu kwa ujira wa tumbo. NonsenseAliyeajiriwa Serikalini akienda likizo analipwa nauli ya kwenda na kurudi yeye na wategemezi wake wanne mara MOJA kila baadae ya miaka miwili; aliyejiajiri halipwi na yeyote akisafiri.
Acha matusi mkuu.....tena kama. Nyie ndio huwa mmechokaaa.....na mnachukia ajira kwa sababu hamna fursa hiyo.Akili tegemezi kama hizi, lazima ziwe utumwani tu kwa ujira wa tumbo. Nonsense
Ni wapuuzi tu na wivu kudhani kuajiriwa ni Utumwa.Kama umepata ajira serikalini piga kazi kwa bidiii.. piga shule upande cheo... fungua biashara pembeni ikuingizie additional income... Tumia skill zako kutafuta wateja remotely uingize dola...
Kma umeajiriwa private hakikisha unakuwa expert wa hyo fani yako... uza ujuzi wako kwa njia ya kidijitali.... mfano miladayo ametoboa kutokea louds kama muajiriwa
Kama umepata opportunity ya kujiajiri hakikisha unakuza mtaji wako na unaajiri wengine... maana hii dunia tunaishi kwa kutegemeana....
All in all ukipata gepu lolote la kuingiza hela piga kazi kazi kwa bidiii huku ukiwa na growth mindset
hivi watu wote tukiacha kazi serikalini hadi wanajeshi na maaskari wote na mahakimu.. wafanyabiashara watafanyaje biashara? On the other hand watu wote tukifanya biashara nani atalinda mali zetu nani ataprocess hela zetu huko benk nani atatuhudumia tukiumwa?
UmeoneeeHalafu anatokea mjuaji mmoja aliyeajiriwa serikalini anakejeli Jobless Mjiajiri..
Duh we jamaa hamna kitu unajua,Watumishi wa serikalini wa chini kabisa (Ma PS) wenye mshahara usiokaribia hata hio 1m Wana safiri Kama kawaida.Last time walipelekwa Zenji kuonana na mama Samia kwa siku kadhaa,wiki ijayo wanaenda tena Dom siku 6.Wana Per diem hapo,in transit,Nauli.Halafu anasema akisafiri analipwa amesahau kwamba kwa mshahara wa 1m per month mpaka upate safari ya kulipwa utakuwa umetoka damu! 1m usafiri kwenda wapi?
Umezingatia maokoto yao ? Hao wana income kubwa sana, marekani lunch ya kawaida tu elfu 70Ni wapuuzi tu na wivu kudhani kuajiriwa ni Utumwa.
Huko Marekani CIA na FBI woote na Masenator na wakurugenzi wote mamilioni kwa mamilioni pale NewYork na New Jersey wameajiriwa ila mpuuzi mmoja amepaya jiko moja la kuuza Chips anaanz akunanga watu walio ajiriwa[emoji38][emoji38]
Kwa mazingira yao ni sawa na kwa mazingira yetu pia ni sawa.Umezingatia maokoto yao ? Hao wana income kubwa sana, marekani lunch ya kawaida tu elfu 70
Wanaobeza kuajiriwa Bongo sio mafala, wanaumia kulipwa laki tano/8 na una familia
Wanakula bata wao sio risk takers. Hawana presha wanasubiri mshahara huku wakitimiza ndoto za waajiri wao.Hayo sio maisha kabisa, ni mateso sema wameshazoea mateso watumishi wa serikali ndio wanaoongoza kwa kula bata
Mkuu, kwa mshahara wa laki 7 familia itakula balanced diet na kuvaa pamoja na kulipa ada ? Mtu huyu atamudu gari kama Toyota crown japo kununua mafuta tu achilia mbali kuinunua ? Na mtu huyu atajenga nyumba gani ? Akistaafu atakuwa na pesa ?Kwa mazingira yao ni sawa na kwa mazingira yetu pia ni sawa.
ππ Mkishasomaga kitabu Cha Rich Dad,poor Dad hua mnajionaga mmeshatoboa tayari.Wanaojiajiri ni wale waliokubali kuzifuata ndoto zao na kizitimiza..
Na nyie wakuajiriwai ndio wale mliokubali kuziacha/kuzikana ndoto zenu na kuzijenga ndoto za wengine
Mnajisifu kwa mishahara mikubwa wakati maendeleo yenu binafsi hayaonekani.....mwishoe mnakaa mnastaafu mkipata izo pensheni ndio mnaanzaga et kujenga tena nyumba za kawaida tu, Wakati huo ujana wako ndio ulikua unatamba kitaa kua mimi mwajiriwa bwana... na kuendekeza starehe
Your salary is the bribe they give you to forget your dream
Baambie Hawa watoto wa chuo,wakikaa wanadanganyana kwenye dabo deka wanazan kuKujiajiri si rahisi kama mnavosimuliana kwenye vijiwe au uko chuoni kwenye course ya entrepreneurship. Sifa ya kwanza ya kutoboa Kwa kujiajiri ni uwe na roho ngumu na ukubali muda mwingine utapita njia za panya utoboe. Wengi ambao hawapiti njia za panya wako hivi mpaka leo, wengine wanaanguka.
Na unajua what it takes ku manage daladala zako kadhaa hapa mjini?Namba mbili na tatu inategemea umejiajiri vipi?
Mfano una daladala zako kadhaa mjini unasubiri jioni uletewe hesabu wala hautakua involved na kua kazini 7days a week.
Mtoa mada nadhani ni muajiriwa aliyekata tamaa na ametoa thread kama njia ya kujifariji.
ππ Mkishasomaga kitabu Cha Rich Dad,poor Dad hua mnajionaga mmeshatoboa tayari.
Balanced diet anakula vzr kabisa maana Ni cheap,labda uniambie atashindwa kula huko kwny McDonald's,steers kwny junk foods.Mkuu, kwa mshahara wa laki 7 familia itakula balanced diet na kuvaa pamoja na kulipa ada ? Mtu huyu atamudu gari kama Toyota crown japo kununua mafuta tu achilia mbali kuinunua ? Na mtu huyu atajenga nyumba gani ? Akistaafu atakuwa na pesa ?
ππ Wengi hapa Ni motivational speakers,wakishasoma vitabu vyao hivyo wanakua wanachomekea na vimaneno viwili vitatu vya kiingereza kwny maongezi Yao wanaona wamemaliza kila kitu.Kunandugu yangu alisoma vitabu 300 vya mambo ya utajiri,rich day poor day kavipiga sana alikua motivational speaker mzuri sana
Ila Leo yupo hoi
Na raia milioni 61 wote wawe wafanya biashara nani mteja? Hivi mnadhani biashara ni kama kupumua ee, basi kusiwe na kozi za udaktari watu waache waende kuuza vitumbua.Na hakuna mtumwa tajiri sasa raia mil 61 wote watafute kazi serikalini? Mtu anaewaza kuajiriwa fkira zake ni za kimasikini
Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app