unaweza kununua wese kilasiku uende job kama hunahela?siutaishia kupanda daladala tuu.
Chombo kinahitaji huduma Kila baada ya kilomita kazaa.kamahuna maisha safi utaweza?
Anyway, mimi nimejiajiri mkuu, leo nimeingia kazini kwangu saa saba mchana na nimeingiza pesa kama kawaidaMada sio kuajiriwa tu mada ni kuajiriwa serikalini au kujiajiri, kupi kuna nafuu ya maisha? Wewe unaleta stori za jamaa njaa mwenzako sijui alitaka kukuajiri na blah blah kibao, serikalini hakuna mbambamba na watu wanaishi kwa marupurupu hawategemei mishahara, kila siku ana uhakika wa kula na akistaafu kuna kiinua mgongo na bado ataendelea kupokea mshahara mpka kufa kwake, japo ni nusu mshahara.
Kila mtu afanye anachoweza wote hamuwez kufanya kitu kimojaNa raia milioni 61 wote wawe wafanya biashara nani mteja? Hivi mnadhani biashara ni kama kupumua ee, basi kusiwe na kozi za udaktari watu waache waende kuuza vitumbua.
NdioHadi walimu?
Mtu mwenye mtaji wa maana hauwezi kumshauri kuhusu kuajiriwa. Kama mtu anatengeneza faida 1M kwa siku ana mtaji mkubwa sanaMjadala huu utapendeza kama utajali layers.... kuna watu Kariakoo wanakunja mpaka m1 kama faida kwa siku. Hawa huwezi kuwawekea mada ya kuajiriwa mkaelewana.
Kujiajiri kwa level ya ujasiriamali kunahusisha major investments za mtaji. Mtu anayewekeza 20M au zaidi kwenye uzalishaji returns zake ni za uhakika sana.Ndio maana nimeuliza kujiajiri katika angle ipi ya ujasiriamali
Alieajiriwa kama anapata mshahara mkubwa na madili ya hela ndefu mtu aliojiajiri sio rahisi kumkuta. We imagine mtu kama Makamba kalamba uwaziri wa Nishati, Salary tu ni zaidi ya 200M kwa mwaka. Bado ajagusa deals za Billions za kutosha.Aliyeajiriwa ni katika sekta gani na aliyejiajiri ni katika sekta gani, tuanzie hapo
Alieajiriwa kama anapata mshahara mkubwa na madili ya hela ndefu mtu aliojiajiri sio rahisi kumkuta. We imagine mtu kama Makamba kalamba uwaziri wa Nishati, Salary tu ni zaidi ya 200M kwa mwaka. Bado ajagusa deals za BillionsAliyeajiriwa ni katika sekta gani na aliyejiajiri ni katika sekta gani, tuanzie hapo
TRA, TBS, FIRE, OSHA na wengineo. Hapo ni mwendo wa kuteseka tu kujiajiriUkiajiriwa moyo hauendi mbiyo sana kama kujiajiri😆😆😆
Sio wewe uliesema fikra za kimaskini? Saizi ndo unasema kila mtu afanye anachoweza. Ungesema hivi mwanzoKila mtu afanye anachoweza wote hamuwez kufanya kitu kimoja
Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Mkuu umenichekesha sana hiyo para ya mwisho. Eti watoto sita wa ndani na wanne wa njeSomebody had to say this!! Mimi nimefanya sana biashara, nimetoka sana jasho la hustle za hapa na pale ila asikudanganye mtu Serikalini ni Serikalini tu!!!! Kipindi cha corona biashara ziliyumba, kwenye private sectors baadhi waliondolewa. Ila Serikalini mserereko uliendelea.
Na nyie mnaosema kama watoto wao watarithi kazi, kwani ukizaa mtoto una uhakika gani atapenda kitu unachokifanya? Una uhakika gani atakuja kupenda hiyo biashara yako ya mahindi.
Rai, tafuta kazi Serikalini, establish vitega uchumi au biashara ambazo sio lazima uwepo 24/7.. unazichanga unawanunulia ardhi wakija kukua hao wanao wana cha kurithi. Na wenyewe unawajengea misingi ya kujitegemea kimaisha hata kama umewaandalia chochote kitu incase ukidondoka. Full stop.
Hii mada haihusu wale wanaume wenye watoto sita ndani ya ndoa wanne nje. Nyie mkifa familia zenu zinatamanigi ziwachape makofi ngedere
Kwa bongo ni kinyume, mwajiriwa wa serikalini anaweza kukwapua 100 billion in a short while. Wewe ukapewa million 50 kwenye kujiajiri it will take you a lifetime kugenerate hio pesa ambayo mwenzio kaikwapua kwa muda mfupi tu.Cha ajabu sana ni kwamba matajiri wote duniani wamejiajiri, sijawahi kusikia tajiri aliyeajiriwa serikalini... [emoji23] [emoji23]
Matajiri walioajiri watu hao ndio Real Entrepreneurs! Mfano ni kina Elon Musk, Mark Zuckeberg. Hao wote wana team za watu zinawafanyia kazi tu wao ni CEOs.Matajiri wa duniani Hawajajiajiri... Wameajiri watu. Know the difference.
Kuna tofauti kati ya Kujiajiri na Kuajiri wengine wakufanyie kazi. Mada inazungumzia Waliojiajiri vs Waajiriwa, haizungumzii walioajiri watu.
Aah hivi[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Mkuu umenichekesha sana hiyo para ya mwisho. Eti watoto sita wa ndani na wanne wa nje
Hilo sio tatizo kikubwa ni furaha ya maisha, that's why wanaishi miaka mingi na hawazeeki mapema, unalijua hilo?Wanakula bata wao sio risk takers. Hawana presha wanasubiri mshahara huku wakitimiza ndoto za waajiri wao.
Kujiajiri inategemea na sector gani upo, kuna mtu ni mhandisi kajiajiri anafukuzia tender tu. Akiotea kazi 3 tu kwa mwaka hela anayomeki ni zaidi ya kiinua mgongo cha mwalimu kwa miaka 60 ya kuajiriwa. Ila kuna mtu kajiajiri anachoma mahindi barabarani huyo hawezi kupambana na kipato cha waajiriwa wengi tu wanaolipwa million 3 au zaidi kwa mwezi waliopo kwenye chain ya kupiga dili na kula rushwa.Ni kwel kujiajiri sio kitoto.Hii ni dedication ya watu wazima haswaaa. Ni kazi nzito mnoo ila kwa ajili ya ku guarantee future sio yako tu bali na ya kizaz chako, ni afadhal kujitoa muhanga ujiajiri.
NB
Ajira sio kitu kibaya maana hata sisi tuliojiajiri , tuna waajir pia wengine ili ku leverage mission zetu.
Walimu wanaishi maisha mazuri uzeeni 😀Kila mtu anakopa na kukopa sio kwamba hana kitu, suburi uzeeke wewe uliyejiajiri kwa kazi ya umachinga na mwalimu aliyestaafu serikali yupi ataishi vizuri uzeeni.
Kujiajiri sio mchezo kudadadeq lazma kuna kipindi utatafuta namba za Sangoma na kuwa mteja wa Mwamposa tu. 🤣🤣🤣Ni kweli nakubali lakini kujiajiri kunaleta stress asikuambie mtu, mimi nilijifanya kukataa kwenda naona mambo yanakuwa magumu zaidi najuta kila siku naumiza akili.