Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

Gharama za maisha zinapanda kila siku na thamani ya shilingi inashuka

Mshahara wa mtumishi wa serikali unayemzungumzia haupandi ni uleule milioni 1

Purchasing power ya milioni 1 ya 2022 sio sawa na ya 2023 inaenda ikishuka

Serikali inapoongeza kodi kwenye bidhaa, mfanyabiashara aliyejiajiri ataongeza bei lakini mtumishi hajaongezewa mshahara na serikali
 
Kwa mshahara upi maana hata mikopo inategemea mshahara wa mtu

Au ndio kama walimu mkopo wa milioni 15 anaulipa miaka 8, sasa hapo kuna kitega uchumi cha maana ataanzisha kweli?
It depends na kitega uchumi unachokifikiria wewe. Kuna kampuni zina uza ardhi unalipa laki laki kwa mwezi. Hujapoteza hela. Huo ni mfano tu
 
Una mawazo ya kimasikini, uoga na imani hafifu
 
Wachache wenye maono watakuelewa
 
1 mmewekewa mindset za kinyonge boss ndo kila kitu nakuwa machawa wao

2wake zenu wanaofanya kazi wanatekereza majukumu ya boss kuliko yako safari za wife hazina excuses boss kwenda nae kwenye semina

3 mnaongoza kwa madeni kukopa wafanyabiashara mshahara ukifika nusu ndo inarudi nyumbani,mnakopa mikopo kausha damu

4 mkistaafu kila biashara mnataka kufanya ilihali hamjui mpka pesa zinaisha na stress juu

5 mshahara wako mpka upandishiwe na mtu mfanyabiashara anajipandishia mwenyewe

6 mnaamini maisha ni nyumba,gari,mke na watoto hapo ndo mmeupiga mwingi na ukimiliki v8 mswali mengi bt mfanyabiashara anavimba nayo
 
You're talking your fear and nature of brain to love certainties instead of uncertainties
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…