Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

Gharama za maisha zinapanda kila siku na thamani ya shilingi inashuka

Mshahara wa mtumishi wa serikali unayemzungumzia haupandi ni uleule milioni 1

Purchasing power ya milioni 1 ya 2022 sio sawa na ya 2023 inaenda ikishuka

Serikali inapoongeza kodi kwenye bidhaa, mfanyabiashara aliyejiajiri ataongeza bei lakini mtumishi hajaongezewa mshahara na serikali
 
Kwa mshahara upi maana hata mikopo inategemea mshahara wa mtu

Au ndio kama walimu mkopo wa milioni 15 anaulipa miaka 8, sasa hapo kuna kitega uchumi cha maana ataanzisha kweli?
It depends na kitega uchumi unachokifikiria wewe. Kuna kampuni zina uza ardhi unalipa laki laki kwa mwezi. Hujapoteza hela. Huo ni mfano tu
 
Mfano alieajiriwa Serikalini na aliejiajiri wote wanaingiza milioni 1 kwa mwezi?

1. Aliejiajiri anaondoka kwake asubuhi kurudi hadi usiku, alieajiriwa Serikalini anaondoka asubuhi anamaliza kazi zake jioni na bado huko ofisini kuna muda anapata kufanya mambo yake.

2. Aliejiajiri anaweza asizijue weekend lakini alieajiriwa Serikalini anapumzika Jumamosi na Jumapili.

3. Aliajiajiri hana sikukuu za kiserikali, alieajiriwa Serikalini haendi kazini idi (hata kama ni mkristo), mwaka mpya, Mei mosi, sabasaba, siku ya Nyeyere, siku ya uhuru, mapinduzi, nanenane, idi, pasaka, n.k

4. Aliejiajiri akiumwa inabidi ajikaze aende tu lasivyo kipato kinaweza kutikisika, alieajiriwa Serikalini akiumwa anatoa notisi.

5. Aliejiajiri hana likizo, muajiriwa ana likizo siku 30 kila mwaka.

6. Aliejiajiri anaweza kufilisika endapo duka likiungua, akiumwa kwa muda mrefu, akiibiwa, n.k. alieajiriwa Serikalini nafasi yake na mshahara wake ni uhakika

7. Aliyeajiriwa Serikalini mkopo anapata kwa masharti nafuu na KWA haraka, aliyejiajiri hawezi pata mkopo kibwerere.

8. Alieajiajiriwa na Serikali ana muda mwingi wa kuwa na familia yake kuzidi aliejiajiri. ikifika jioni, weekend, sikukuu za serikali, likizo, n.k. ana muda wa kutosha wa kuwa na familia yake

9. Alieajiriwa Serikalini anaweza kuwa ma biashara zake za kumuongezea kipato, hizi biashara zinaweza kurithiwa na watoto wake.

Mwisho niseme Kujiajiri watu wanameki bingo lakini ni wale wenye roho ngumu sana, juhudi, kujibana na uvumilivu, kinyume na hapo kukua ni kazi sana mara kumi heri mtu alie Serikalini.
Una mawazo ya kimasikini, uoga na imani hafifu
 
Mkuu mkuu mkuu nimeita mara tatu ukiijua falsafa ya kujiajir ndio maana arabs and asians people hapa Tanzania NDIO wameshika uchumi wetu....

Wengine mmechelewa sana kufunguka hii ni sababu za kijographia na malezi na udumavu wa fikra Asante Mungu kukutana na Hawa ma Guru naijua industry vyema....

Na degree mbili kabatini nazitoaga naziangalia zinarudi kabatini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]nataka mwakani niongeze ingine wengine kusoma ni passion

NB:
Neno Moja Kwa young generation fanya kile unacho penda na kukiamini kama mpira cheza,kama music fanya kama bussiness fanya Kwa bidii.....

Mm kiinua mgongo changu nakisaka Leo tuna pambania kombe ajira ni utumwa ajira ni Kwa watu waoga wa maisha wanafanya sababu ya security perpose...

Hapa nazungumzia zile ajira za watoto wa masikini nieleweke ivyo[emoji4][emoji4]
Wachache wenye maono watakuelewa
 
1 mmewekewa mindset za kinyonge boss ndo kila kitu nakuwa machawa wao

2wake zenu wanaofanya kazi wanatekereza majukumu ya boss kuliko yako safari za wife hazina excuses boss kwenda nae kwenye semina

3 mnaongoza kwa madeni kukopa wafanyabiashara mshahara ukifika nusu ndo inarudi nyumbani,mnakopa mikopo kausha damu

4 mkistaafu kila biashara mnataka kufanya ilihali hamjui mpka pesa zinaisha na stress juu

5 mshahara wako mpka upandishiwe na mtu mfanyabiashara anajipandishia mwenyewe

6 mnaamini maisha ni nyumba,gari,mke na watoto hapo ndo mmeupiga mwingi na ukimiliki v8 mswali mengi bt mfanyabiashara anavimba nayo
 
You're talking your fear and nature of brain to love certainties instead of uncertainties

Back
Top Bottom