t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Mangi anayekopesha kaajiriwa au kajiajiri?Usi
Usiyejiariwa ka kope kama utapewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mangi anayekopesha kaajiriwa au kajiajiri?Usi
Usiyejiariwa ka kope kama utapewa
Unaona matajiri wamekuwa matajiri kwa sababu walikubali kuwa risk takersUkiajiriwa moyo hauendi mbiyo sana kama kujiajiri😆😆😆
Kwa mshahara upi maana hata mikopo inategemea mshahara wa mtutafuta kazi Serikalini, establish vitega uchumi
Acha Wahindi, Waarabu na baadhi ya Wachaga waliomua kujiajiri na kuwa matajiri waendelee kushika uchumi wa nchi wao na vizazi vyao vijavyoFikra hizi zinasikitisha.
Aliyeajiriwa ana muda maalum wa kustaafu na hapo ndio magonjwa huibuka lkn aliyejiajiri anapiga bingo maisha yake yoteAliyeajiriwa Serikalini akienda likizo analipwa nauli ya kwenda na kurudi yeye na wategemezi wake wanne mara MOJA kila baadae ya miaka miwili; aliyejiajiri halipwi na yeyote akisafiri.
It depends na kitega uchumi unachokifikiria wewe. Kuna kampuni zina uza ardhi unalipa laki laki kwa mwezi. Hujapoteza hela. Huo ni mfano tuKwa mshahara upi maana hata mikopo inategemea mshahara wa mtu
Au ndio kama walimu mkopo wa milioni 15 anaulipa miaka 8, sasa hapo kuna kitega uchumi cha maana ataanzisha kweli?
Una mawazo ya kimasikini, uoga na imani hafifuMfano alieajiriwa Serikalini na aliejiajiri wote wanaingiza milioni 1 kwa mwezi?
1. Aliejiajiri anaondoka kwake asubuhi kurudi hadi usiku, alieajiriwa Serikalini anaondoka asubuhi anamaliza kazi zake jioni na bado huko ofisini kuna muda anapata kufanya mambo yake.
2. Aliejiajiri anaweza asizijue weekend lakini alieajiriwa Serikalini anapumzika Jumamosi na Jumapili.
3. Aliajiajiri hana sikukuu za kiserikali, alieajiriwa Serikalini haendi kazini idi (hata kama ni mkristo), mwaka mpya, Mei mosi, sabasaba, siku ya Nyeyere, siku ya uhuru, mapinduzi, nanenane, idi, pasaka, n.k
4. Aliejiajiri akiumwa inabidi ajikaze aende tu lasivyo kipato kinaweza kutikisika, alieajiriwa Serikalini akiumwa anatoa notisi.
5. Aliejiajiri hana likizo, muajiriwa ana likizo siku 30 kila mwaka.
6. Aliejiajiri anaweza kufilisika endapo duka likiungua, akiumwa kwa muda mrefu, akiibiwa, n.k. alieajiriwa Serikalini nafasi yake na mshahara wake ni uhakika
7. Aliyeajiriwa Serikalini mkopo anapata kwa masharti nafuu na KWA haraka, aliyejiajiri hawezi pata mkopo kibwerere.
8. Alieajiajiriwa na Serikali ana muda mwingi wa kuwa na familia yake kuzidi aliejiajiri. ikifika jioni, weekend, sikukuu za serikali, likizo, n.k. ana muda wa kutosha wa kuwa na familia yake
9. Alieajiriwa Serikalini anaweza kuwa ma biashara zake za kumuongezea kipato, hizi biashara zinaweza kurithiwa na watoto wake.
Mwisho niseme Kujiajiri watu wanameki bingo lakini ni wale wenye roho ngumu sana, juhudi, kujibana na uvumilivu, kinyume na hapo kukua ni kazi sana mara kumi heri mtu alie Serikalini.
Mkuu huyo mtu hawezi kuwa na kitega uchumi cha maana. Wengi huishia tu kujenga vijumba vya wapangajiIt depends na kitega uchumi unachokifikiria wewe. Kuna kampuni zina uza ardhi unalipa laki laki kwa mwezi. Hujapoteza hela. Huo ni mfano tu
SawaMkuu huyo mtu hawezi kuwa na kitega uchumi cha maana. Wengi huishia tu kujenga vijumba vya wapangaji
Wachache wenye maono watakuelewaMkuu mkuu mkuu nimeita mara tatu ukiijua falsafa ya kujiajir ndio maana arabs and asians people hapa Tanzania NDIO wameshika uchumi wetu....
Wengine mmechelewa sana kufunguka hii ni sababu za kijographia na malezi na udumavu wa fikra Asante Mungu kukutana na Hawa ma Guru naijua industry vyema....
Na degree mbili kabatini nazitoaga naziangalia zinarudi kabatini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]nataka mwakani niongeze ingine wengine kusoma ni passion
NB:
Neno Moja Kwa young generation fanya kile unacho penda na kukiamini kama mpira cheza,kama music fanya kama bussiness fanya Kwa bidii.....
Mm kiinua mgongo changu nakisaka Leo tuna pambania kombe ajira ni utumwa ajira ni Kwa watu waoga wa maisha wanafanya sababu ya security perpose...
Hapa nazungumzia zile ajira za watoto wa masikini nieleweke ivyo[emoji4][emoji4]
Endelea kujua hivyohivyo😅😅😅Serikali hii hii ya mshahara WA laki 3????
Mfano alieajiriwa Serikalini na aliejiajiri wote wanaingiza milioni 1 kwa mwezi?