Hakika. Biashara kuanza nayo toka chini ukiwa ziro kabisa si rahisi kama wengi wetu tunavyodhania humu.Wengine humu mnasema biashara sio ngumu wakati mmekuta alishakufungulia baba yako kafanya kukuachia urithi. Umekuta foundation imekaa vizuri we kazi kusugua kisigino tu Mtupishe
We una vitega uchumi gani mjini?1 mmewekewa mindset za kinyonge boss ndo kila kitu nakuwa machawa wao
2wake zenu wanaofanya kazi wanatekereza majukumu ya boss kuliko yako safari za wife hazina excuses boss kwenda nae kwenye semina
3 mnaongoza kwa madeni kukopa wafanyabiashara mshahara ukifika nusu ndo inarudi nyumbani,mnakopa mikopo kausha damu
4 mkistaafu kila biashara mnataka kufanya ilihali hamjui mpka pesa zinaisha na stress juu
5 mshahara wako mpka upandishiwe na mtu mfanyabiashara anajipandishia mwenyewe
6 mnaamini maisha ni nyumba,gari,mke na watoto hapo ndo mmeupiga mwingi na ukimiliki v8 mswali mengi bt mfanyabiashara anavimba nayo
Kijana upeo wake bado mdogo, kuna siku ataelewa wepesi wa points zake wacha akue kwanzaVipi nafasi ya kukua?
Ukimkuta mtu anaingiza million leo, biashara isipokufa basi mwakani haiwezi kuwa milioni tena.
Itakuwa imeongezeka....
Watumishi wa umma report ya mwkaa jana wapo laki tano.Hivi watanzania milioni zaidi ya 60 wanaweza kweli kuajiriwa na serikali?? Hivi unajua mpaka sasa watanzania walioajiriwa na serikali hawazidi hata milioni 3??
Hapa inategemea... wapo wenye mazaliHakika, na pia watoto wako watarithi hiyo kazi yako.
Mada sio kuajiriwa tu mada ni kuajiriwa serikalini au kujiajiri, kupi kuna nafuu ya maisha? Wewe unaleta stori za jamaa njaa mwenzako sijui alitaka kukuajiri na blah blah kibao, serikalini hakuna mbambamba na watu wanaishi kwa marupurupu hawategemei mishahara, kila siku ana uhakika wa kula na akistaafu kuna kiinua mgongo na bado ataendelea kupokea mshahara mpka kufa kwake, japo ni nusu mshahara.M1 ni nyingi sana mkuu
Mimi nikikunja zangu 50k tu pale kariakoo kisha ukiniletea story za kuajiriwa nakuzingua
Maana kuna mwamba alitaka kuniajiri kisha anilipe 900k kwa mwezi nimemtolea nje
Ma jobless wana wivu na waajiriwa wa serikalini, wanashindwa kuangalia wangapi waliotoboa kwa kujiajiri na wanahishi na stress kiasi gani? Wafanyabiashara wangapi wametoboa kuanzia machinga, mama ntulie, wauza simu, boda boda n.k hawa wote wamejiajiri, kila wakija na sababu wanalinganisha mwalimu na Bakhresa, mara Abood kwanini mwalimu wasimlinganisha na boda boda au wabeba mzigo waliojiajiri kama makuli.Subiri ma jobless waje
Ukiajiriwa na mwenye njaa mwenzaki hapo ni stresss mtoa mada amewaambia waajiriwa wa serikalini vs aliyejiajiri.Acha kujipa moyo aliejiajiri ana uhuru mkubwa kuliko kuajiriwa kuajiriwa utumwa jifunze kujituma, mtu adi uombe ruhusa kweli jiajiri tengeneza stream nyingi za income zikufanyie kazi hakika utafurahia maisha na uhuru wako
Watumishi wa umma hakuna waofikisha milion 15 kwa mwezi? Na wengine wanapokea laki 5 lakini hawagisi mishahara mfano mdogo, polisi, TRA, traffick, watu wa halmashauri n.k hawa hawana haja ya mishahara kila siku hakosi elfu ishirini ya mboga nakuambia.Usijifariji wwe jamaa utumishi wa umma wa kibongo ni utumwa nakusanua tu, yaani mshahara wa laki tano bila makato bado unaona poa? hivi kuna mtu amewahi kutoboa kwa kuajiriwa na kukaa kwenye maofisi ya umma? Acha kuwadanganya watu wewe kama unaona ajira yako mali utakua huna akili sawasawa.
Kila mtu anakopa na kukopa sio kwamba hana kitu, suburi uzeeke wewe uliyejiajiri kwa kazi ya umachinga na mwalimu aliyestaafu serikali yupi ataishi vizuri uzeeni."Kwa mangi unakopa bila shida " yaani unajisifu na ajira ya serikali halafu moja ya tegemeo lako ni mtu aliyejiajiri!
Wafanyabiashara wa namna gani? Ata muuza karanga na vitumbua ni mfanyabiashara aliyejiajiri, acheni kuchekesha watu hakuna kitu kigumu chenye msongo wa mawazo kama biashara kutoboa sio mchezo.Lakini watu wengi walio na maisha mazuri mtaani ni wafabiashara.
Watumishi wengi ni wabangaizaji tuu
Baada ya kupata Ajira ya I nesi umeanza kutuponda si ndio? Mara hii umeonja utamu Hadi hapo Kijijini unaona pamenoga ππππWafanyabiashara wa namna gani? Ata muuza karanga na vitumbua ni mfanyabiashara aliyejiajiri, acheni kuchekesha watu hakuna kitu kigumu chenye msongo wa mawazo kama biashara kutoboa sio mchezo.
Kafanye na wewe hiyo biashara uone hizo pesa.Niliwahi kufanya kazi Kwa muhindi jamani biashara Ina pesa asikuambie mtu
Acha dharau mkuu, nimefanya biashara sana na nina jua risk za biashara, siongelei ushabiki kaa na unavyojua, nilipata kazi serikali sikwenda kwa ujinga wng sasa najuta.Baada ya kupata Ajira ya I nesi umeanza kutuponda si ndio? Mara hii umeonja utamu Hadi hapo Kijijini unaona pamenoga ππππ