Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Halafu jamaa amejizima data na kusahau kwamba hako ka mshahara kake ka milioni 1 hakatampatia pensioni nzuri. Amejitahidi sana 45m. Akistaafu atanza kutapatapa kutafuta kujiajiri na kwa vile hajui ABC za kujiajiri pension yote itateketea na ataanza kuugua BP mara stroke mwisho wake amedanja mapema!