Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

Halafu jamaa amejizima data na kusahau kwamba hako ka mshahara kake ka milioni 1 hakatampatia pensioni nzuri. Amejitahidi sana 45m. Akistaafu atanza kutapatapa kutafuta kujiajiri na kwa vile hajui ABC za kujiajiri pension yote itateketea na ataanza kuugua BP mara stroke mwisho wake amedanja mapema!
 
1 mmewekewa mindset za kinyonge boss ndo kila kitu nakuwa machawa wao

2wake zenu wanaofanya kazi wanatekereza majukumu ya boss kuliko yako safari za wife hazina excuses boss kwenda nae kwenye semina

3 mnaongoza kwa madeni kukopa wafanyabiashara mshahara ukifika nusu ndo inarudi nyumbani,mnakopa mikopo kausha damu

4 mkistaafu kila biashara mnataka kufanya ilihali hamjui mpka pesa zinaisha na stress juu

5 mshahara wako mpka upandishiwe na mtu mfanyabiashara anajipandishia mwenyewe

6 mnaamini maisha ni nyumba,gari,mke na watoto hapo ndo mmeupiga mwingi na ukimiliki v8 mswali mengi bt mfanyabiashara anavimba nayo
We una vitega uchumi gani mjini?
 
Kitu ambacho kimeficha pakubwa aibu ya watumishi wa serikalini ni mikopo.

Angalau atanunua kakiwanja, atajenga kajumba ka vyumba vitatu vya kulala na kagari. Kuna tarehe zikifika hata gari anapaki ni mwendo wa daladala


Ila balaa kwenye makato ya mshahara mpaka aje kuumaliza huo mkopo kashasurubika sana miaka kadhaa

Baada ya hapo tena tutafutane kwenye pensheni baada ya kustaafu
 
M1 ni nyingi sana mkuu

Mimi nikikunja zangu 50k tu pale kariakoo kisha ukiniletea story za kuajiriwa nakuzingua

Maana kuna mwamba alitaka kuniajiri kisha anilipe 900k kwa mwezi nimemtolea nje
Mada sio kuajiriwa tu mada ni kuajiriwa serikalini au kujiajiri, kupi kuna nafuu ya maisha? Wewe unaleta stori za jamaa njaa mwenzako sijui alitaka kukuajiri na blah blah kibao, serikalini hakuna mbambamba na watu wanaishi kwa marupurupu hawategemei mishahara, kila siku ana uhakika wa kula na akistaafu kuna kiinua mgongo na bado ataendelea kupokea mshahara mpka kufa kwake, japo ni nusu mshahara.
 
Subiri ma jobless waje
Ma jobless wana wivu na waajiriwa wa serikalini, wanashindwa kuangalia wangapi waliotoboa kwa kujiajiri na wanahishi na stress kiasi gani? Wafanyabiashara wangapi wametoboa kuanzia machinga, mama ntulie, wauza simu, boda boda n.k hawa wote wamejiajiri, kila wakija na sababu wanalinganisha mwalimu na Bakhresa, mara Abood kwanini mwalimu wasimlinganisha na boda boda au wabeba mzigo waliojiajiri kama makuli.
 
Usijifariji wwe jamaa utumishi wa umma wa kibongo ni utumwa nakusanua tu, yaani mshahara wa laki tano bila makato bado unaona poa? hivi kuna mtu amewahi kutoboa kwa kuajiriwa na kukaa kwenye maofisi ya umma? Acha kuwadanganya watu wewe kama unaona ajira yako mali utakua huna akili sawasawa.
 
Acha kujipa moyo aliejiajiri ana uhuru mkubwa kuliko kuajiriwa kuajiriwa utumwa jifunze kujituma, mtu adi uombe ruhusa kweli jiajiri tengeneza stream nyingi za income zikufanyie kazi hakika utafurahia maisha na uhuru wako
Ukiajiriwa na mwenye njaa mwenzaki hapo ni stresss mtoa mada amewaambia waajiriwa wa serikalini vs aliyejiajiri.
 
Usijifariji wwe jamaa utumishi wa umma wa kibongo ni utumwa nakusanua tu, yaani mshahara wa laki tano bila makato bado unaona poa? hivi kuna mtu amewahi kutoboa kwa kuajiriwa na kukaa kwenye maofisi ya umma? Acha kuwadanganya watu wewe kama unaona ajira yako mali utakua huna akili sawasawa.
Watumishi wa umma hakuna waofikisha milion 15 kwa mwezi? Na wengine wanapokea laki 5 lakini hawagisi mishahara mfano mdogo, polisi, TRA, traffick, watu wa halmashauri n.k hawa hawana haja ya mishahara kila siku hakosi elfu ishirini ya mboga nakuambia.
 
Wafanyabiashara wa namna gani? Ata muuza karanga na vitumbua ni mfanyabiashara aliyejiajiri, acheni kuchekesha watu hakuna kitu kigumu chenye msongo wa mawazo kama biashara kutoboa sio mchezo.
Baada ya kupata Ajira ya I nesi umeanza kutuponda si ndio? Mara hii umeonja utamu Hadi hapo Kijijini unaona pamenoga 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom