Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

Gap pekee aliyejiajiri atampiga aliyeajiriwa ni kwenye potential ya growth.

Biashara ikikuwa kipato cha aliyejiajiri kitamzidi muajiriwa na hapo ndo gap huanza. Though pia sio wote huwa wanatoboa kwenye kujiajiri na hapo ndo trick part.
 
Unawazungumzia Waajiriwa hawa Ambao Mei mosi Wanajidhalilisha kwa kuvaa Picha za wanasiasa Uchwara na kubeba mabango ili Waongezewe Walau Elfu hamsini Kwenye mishahara Yao?

Au unawazungumzia hawa Waajiriwa ambao Wakishastaafu Wanapata Kazi mpya ya Kufatilia Pensheni,

Mimi huwa nacheka tu Unakuta muajiriwa anatukana humu ngoja ifke wakati amestaafu anafatilia pensheni,

Mbona utamuonea huruma maana nawakutaga kwenye yale mabenchi ya ofisi wakifatilia pensheni zao wamekaa mpaka wakinyanyuka Makalio yamejichora Kwenye Benchi.

Aisee Kuajiriwa Hapana ni Mateso.
 
Usisahau pia aliyejiajiri anafanya kwa moyo na kwa ubunifu, wakati Serikali wanaenda kwa sababu ya mshahara mseleleko, majungu fitina na ulozi ni mwingi huko ajirani kuliko kwa aliyejiajiri, manyanyaso na matusi kwa bosi ni kawaida, si unaona mpaka mkuu wa wilaya anamtandika fimbo mwalimu hahaha ndio raha hiyo eeee
 
Mfano alieajiriwa serikalini na aliejiajiri wote wanaingiza milioni 1 kwa mwezi?

1. aliejiajiri anaondoka kwake asubuhi kurudi hadi usiku, alieajiriwa serikalini anaondoka asubuhi anamaliza kazi zake jioni na bado huko ofisini kuna muda anapata kufanya mambo yake.

2. aliejiajiri anaweza asizijue weekend lakini alieajiriwa serikalini anapumzika jumamosi na jumapili.

3.aliajiajiri hana sikukuu za kiserikali, alieajiriwa serikalini haendi kazini idi (hata kama ni mkristo), mwaka mpya, meimosi, sabasaba, siku ya Nyeyere, siku ya uhuru, mapinduzi, nanenane, idi, pasaka, n.k

4.aliejiajiri akiumwa inabidi ajikaze aende tu lasivyo kipato kinaweza kutikisika, alieajiriwa serikalini akiumwa anatoa notisi.

5. aliejiajiri hana likizo, muajiriwa ana likizo siku 30 kila mwaka

6. aliejiajiri anaweza kufilisika endapo duka likiungua, akiumwa kwa muda mrefu, akiibiwa, n.k. alieajiriwa serikalini nafasi yake na mshahara wake ni uhakika

7. Aliyeajiriwa serikalini mkopo anapata kwa masharti nafuu na KWA haraka aliyejiajiri hawezi pata mkopo kibwerere

8. alieajiajiriwa na serikali ana muda mwingi wa kuwa na familia yake kuzidi aliejiajiri. ikifika jioni, weekend, sikukuu za serikali, likizo, n.k. ana muda wa kutosha wa kuwa na familia yake

9. Alieajiriwa serikalini anaweza kuwa ma biashara zake za kumuongezea kipato, hizi biashara zinaweza kurithiwa na watoto wake.

Mwisho niseme Kujiajiri watu wanameki bingo lakini ni wale wenye roho ngumu sana, juhudi, kujibana na uvumilivu, kinyume na hapo kukua ni kazi sana, mara kumi heri mtu alie serikalini.

Nijiajiri kwa kufungua duka niweke mfanyakazi alafu asubuhi nije sawa na yeye, sasa boss hapo nani?
 
Somebody had to say this!! Mimi nimefanya sana biashara, nimetoka sana jasho la hustle za hapa na pale ila asikudanganye mtu serikalini ni serikalini tu!!!! Kipindi cha corona biashara ziliyumba, kwenye private sectors baadhi waliondolewa. Ila serikalini mserereko uliendelea.

Na nyie mnaosema kama watoto wao watarithi kazi, kwani ukizaa mtoto unauhakika gani atapenda kitu unachokifanya? Una uhakika gani atakuja kupenda hiyo biashara yako ya mahindi,

Rai, tafuta kazi serikalini, establish vitega uchumi au biashara ambazo sio lazima uwepo 24/7.. unazichanga unawanunulia ardhi wakija kukua hao wanao wana cha kurithi. Na wenyewe unawajengea misingi ya kujitegemea kimaisha hata kama umewaandalia chochote kitu incase ukidondoka. Full stop

Hii mada haihusu wale wanaume wenye watoto sita ndani ya ndoa wanne nje. Nyie mkifa familia zenu zinatamanigi ziwachape makofi ngedere

Mkuu mkuu mkuu nimeita mara tatu ukiijua falsafa ya kujiajir ndio maana arabs and asians people hapa Tanzania NDIO wameshika uchumi wetu....

Wengine mmechelewa sana kufunguka hii ni sababu za kijographia na malezi na udumavu wa fikra Asante Mungu kukutana na Hawa ma Guru naijua industry vyema....

Na degree mbili kabatini nazitoaga naziangalia zinarudi kabatini 😂😂😂🤣🤣nataka mwakani niongeze ingine wengine kusoma ni passion

NB:
Neno Moja Kwa young generation fanya kile unacho penda na kukiamini kama mpira cheza,kama music fanya kama bussiness fanya Kwa bidii.....

Mm kiinua mgongo changu nakisaka Leo tuna pambania kombe ajira ni utumwa ajira ni Kwa watu waoga wa maisha wanafanya sababu ya security perpose...

Hapa nazungumzia zile ajira za watoto wa masikini nieleweke ivyo😊😊
 
Hata aliyeajiriwa anakua pia. Kuna annual increment (japo ni ndogo), kuna kupanda cheo.. kuna kuhama taasisi kuhamia taasisi inayolipa zaidi etc.
Probabilities zake zikoje? Given wote ni wachapakazi sawa......
Kingine ambacho sio cha kusahau au kujisahaulisha ni......
Anayeingiza 1M ni mtu aliyejiajiri wa level gani na anayechukua take home serikalini ni mtu wa level gani.
 
Kwani probability ya kukua kwa aliyejiajiri ikoje? Ni rahisi rahisi tu? Kila kitu ni kigumu, you have to work hard to achieve.

Aliyejiajiri na aliye ajiriwa wote wana nafasi za kukua...na kukua huko, you have to work your ass off ili ukue.

1M ya kuajiriwa serikalini na 1M ya kujiajiri, ya kuajiriwa serikalini ina maisha mazuri ya kurelax zaidi kwa point alizotoa mtoa mada.
 
Mfano alieajiriwa serikalini na aliejiajiri wote wanaingiza milioni 1 kwa mwezi?

1. aliejiajiri anaondoka kwake asubuhi kurudi hadi usiku, alieajiriwa serikalini anaondoka asubuhi anamaliza kazi zake jioni na bado huko ofisini kuna muda anapata kufanya mambo yake.

2. aliejiajiri anaweza asizijue weekend lakini alieajiriwa serikalini anapumzika jumamosi na jumapili.

3.aliajiajiri hana sikukuu za kiserikali, alieajiriwa serikalini haendi kazini idi (hata kama ni mkristo), mwaka mpya, meimosi, sabasaba, siku ya Nyeyere, siku ya uhuru, mapinduzi, nanenane, idi, pasaka, n.k

4.aliejiajiri akiumwa inabidi ajikaze aende tu lasivyo kipato kinaweza kutikisika, alieajiriwa serikalini akiumwa anatoa notisi.

5. aliejiajiri hana likizo, muajiriwa ana likizo siku 30 kila mwaka

6. aliejiajiri anaweza kufilisika endapo duka likiungua, akiumwa kwa muda mrefu, akiibiwa, n.k. alieajiriwa serikalini nafasi yake na mshahara wake ni uhakika

7. Aliyeajiriwa serikalini mkopo anapata kwa masharti nafuu na KWA haraka aliyejiajiri hawezi pata mkopo kibwerere

8. alieajiajiriwa na serikali ana muda mwingi wa kuwa na familia yake kuzidi aliejiajiri. ikifika jioni, weekend, sikukuu za serikali, likizo, n.k. ana muda wa kutosha wa kuwa na familia yake

9. Alieajiriwa serikalini anaweza kuwa ma biashara zake za kumuongezea kipato, hizi biashara zinaweza kurithiwa na watoto wake.

Mwisho niseme Kujiajiri watu wanameki bingo lakini ni wale wenye roho ngumu sana, juhudi, kujibana na uvumilivu, kinyume na hapo kukua ni kazi sana, mara kumi heri mtu alie serikalini.
Hapa kwenye kujiajiri unazungumzia biashara Kama biashara au hustle yaani una duka au kibanda Cha pumba??

Na ajira unazungumzia zipi, za ulinzi,kubeba unga kwenye kiwanda Cha bak0resa au ajira za walimu au NHIF na TRA???
 
Kwani probability ya kukua kwa aliyejiajiri ikoje? Ni rahisi rahisi tu? Kila kitu ni kigumu, you have to work hard to achieve.

Aliyejiajiri na aliye ajiriwa wote wana nafasi za kukua...na kukua huko, you have to work your ass off ili ukue.

1M ya kuajiriwa serikalini na 1M ya kujiajiri, ya kuajiriwa serikalini ina maisha mazuri ya kurelax zaidi kwa point alizotoa mtoa mada.
Kukua serikalini ni kuwa mchapakazi mzuri?
Serikalini ya wapi hii?
 
Back
Top Bottom