Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu business owner naye kajiajiri pia,kutokana na kukua kwake kibiashara,anaweka wasaidizi.Huyo ni mwajiri, Business owner. Huyo "hajajiajiri". Know the difference.
Mada inazungumzia "waliojiajiri".
Mkuu Bush Dokta kwanza salamuMakonda alikuwa mwajiriwa wewe unamzidi utajiri?
Mimi nimekulia Kijijini Kule Watoto wa Mwl ndio walikuwa wanava viatu na kula nyama siku zisizo za sikukuu na vyakula vyao vinaungwa mafuta na kukaangwa.
Watoto wa Mwl ndio wanavaa nguo safi na shati zenye kung'aa
Yaani watoto wa Mwl na Mwl ndio familia kila mtu anakimbilia kukopa akipata shida.
Yaani unaopodharau mtu aliyeajiriwa ni sababu tu ya Ubinafsi kwa kuwa wewe unazo nyingi basi unataka kudharau wengine.
Hii akili ni ya chuo kikuu, anayebisha aseme.Kuajiriwa ni utumwa.Somebody had to say this!! Mimi nimefanya sana biashara, nimetoka sana jasho la hustle za hapa na pale ila asikudanganye mtu serikalini ni serikalini tu!!!! Kipindi cha corona biashara ziliyumba, kwenye private sectors baadhi waliondolewa. Ila serikalini mserereko uliendelea.
Na nyie mnaosema kama watoto wao watarithi kazi, kwani ukizaa mtoto unauhakika gani atapenda kitu unachokifanya? Una uhakika gani atakuja kupenda hiyo biashara yako ya mahindi,
Rai, tafuta kazi serikalini, establish vitega uchumi au biashara ambazo sio lazima uwepo 24/7.. unazichanga unawanunulia ardhi wakija kukua hao wanao wana cha kurithi. Na wenyewe unawajengea misingi ya kujitegemea kimaisha hata kama umewaandalia chochote kitu incase ukidondoka. Full stop
Hii mada haihusu wale wanaume wenye watoto sita ndani ya ndoa wanne nje. Nyie mkifa familia zenu zinatamanigi ziwachape makofi ngedere
Kuajiriwa ni utumwa. Eti mwezi mzima siku 30 ndio unapata laki 5 au 6.mjadala huu
utapendeza kama utajali layers.... kuna watu kariakoo wanakunja mpaka m1 kama faida kwa siku. hawa huwez kuwawekea mada ya kuajiriwa mkaelewana
Hayo sio maisha kabisa, ni mateso sema wameshazoea mateso watumishi wa serikali ndio wanaoongoza kwa kula bataKuna watu nawajua tangia nipo shule ya msingi wanaondoka majumbani saa 12 asubuhi kwenda kuuza dukani mpaka saa 2 usiku,
Tena walimu wanakula bata sana makazini na wana likizo nyingi sanayes kwani hujui kuna walimu wanakunja zaidi ya hyo?
Eka mmasiKwangu kujiajiri ndokuna faidaa asèe
Hayo yote uliuoyasema siyo mateso ni hali yakuishi mazingira uliyopo
Tukomae ata kama tuko kwenye ajira zawatu tufungue njia tutengeneze ajira zetu
Hata kama hazina kumefujwa hakuna kitu, mwajiriwa anavuta tu mtembaalieajiriwa serikalini nafasi yake na mshahara wake ni uhakika
Sawa nimekuelewa. Huyu Mkulima wa jembe la mkono yeye hajajiajiri?😆😆Mkuu Bush Dokta kwanza salamu
Pili nikukumbushe kuwa hapa tunaongelea waliojiajiri sasa usije ukambeba mkulima wa mahindi kwa misimi miwili tena kwa jembe la mkono umlete hapa kusema amejiajiri .
Huyo anatafuta surviving food tu .
Hapa leo nazungumzia mtu aliyeweka atleast laki nane mpaka milioni na kuendelea anayeizungusha .
Nb .Makonda akiwa kazini sikuwa namzidi hela kwa kipindi kile ila kwasasa mimi bado nimeajiriwa lakini nimeshinda kesi ya urithi wa mali za mshua master sioni tabu kukuambia makonda hanifikii hata robo kwasasa .
Nb.walimu usiwafanye wa mfano kwenye mambo ya uchumi kwa maisha ya sasa yamewapiga vibaya mno maana mshahara hauendani na hali ya uchumi.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kua tajiri sio Rahisi, ndio maana Pamoja na maelezo yote matajiri nchi hii wanahesabikaHakuna mwajiriwa tajiri,though utajiri sio kitu chepesi.