Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Ndio, mashamba MkuuKuwa na ardhi Sio cv ya kupata mkopo labda uwe umeiendeleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, mashamba MkuuKuwa na ardhi Sio cv ya kupata mkopo labda uwe umeiendeleza
Maduka ya mangiKuna watu nawajua tangia nipo shule ya msingi wanaondoka majumbani saa 12 asubuhi kwenda kuuza dukani mpaka saa 2 usiku.
Mawazo ya kimasikiniFaida za kuajiriwa Serikalini
1. Rahisi kupata visa ya nchi yeyeto wanaamini huwezi zamia
2. Kwa mangi unakopa bila shida
3. Unakopa bank
4. Ukiimwa mda mrefu unaendelea tu kula mshahara kitandani
5. Job security kufukuzwa ni process
6. Ruhusa ya kusoma ndani au nje
7. Ukisimamishwa kazi mshahara na maslai yako pale pale ,huku ukiwa na mda wa kutosha kufanya mishe zako mfano bize na shule, biashara au kuajiriwa private company
8. Likizo bila malipo
9. Hela ya pension uzeeni ukistaafu inaingia tu muhimu upambane uwe mkubwa piga tu shule pesheni yako ya mwezi unamzidi graduate.
Wewe ni masikiniNimejiajiri mwaka wa tano huu,sikumbuki lini nilisema nimepumzika Yani nimetulia tu,sikumbuki lini niliamua kusafiri tu bila kutokea matatizo,kwakweli kujiajiri na mtaji wa million ni mateso Sana Bora kuzama serikalini tu
Nadhani kipengele hiki ndio hasa kinawavutia watumishi wa umma kubaki serikalini hata kama maslahi ni madogo, ingawa hawajui kwamba hiki ni kitanzi kwao (huchomoki).Aliyeajiriwa Serikalini mkopo anapata kwa masharti nafuu na KWA haraka aliyejiajiri hawezi pata mkopo kibwerere.
Asanteeeee🙏🏾🙏🏾🙏🏾😋Acha Wahindi, Waarabu na baadhi ya Wachaga waliomua kujiajiri na kuwa matajiri waendelee kushika uchumi wa nchi wao na vizazi vyao vijavyo
Kuona mshahara wa milioni 1 ni wa maana ni fikira za kimasikini sana
Inasikitisha mno
Raisi mwenywe kaajiriwa 😀Kuajiriwa ni utumwa. Eti mwezi mzima siku 30 ndio unapata laki 5 au 6.
Mambo yatakua mazuri endeleza duaNimejiajiri baada ya kukosa ajira. Biashara ngumu asee hasahasa unapo anzia chini inahitaji roho ngumu sana.
Mashirika ya umma pia na binafsihii ni ile.education is better than money.😁😁😁😁
kiukweli muajiriwa ninae muelewa kwamba anapiga hela.
injinia,daktari,maafsa elimu,wakuu wawilaya,wakuu wamikoa,t.r.a.
hao wengine njaa tuu.
Fundi John atapata wapi mda wa kushinda jf wakati anatakiwa kuwa busy kumantika mota huko 🤣🤣Siku hizi umekuwa fundi John😂😂😂😂😂, ukizeeka utaweza kubeba matofari na mawe?
waajiriwa wanaokula life niwachache.wengi wanasafa hata pikipiki yakwendea job hawanaMashirika ya umma pia na binafsi
Usafiri ni kipimo cha kua na maisha mazuri?waajiriwa wanaokula life niwachache.wengi wanasafa hata pikipiki yakwendea job hawana
unaweza kununua wese kilasiku uende job kama hunahela?siutaishia kupanda daladala tuu.Usafiri ni kipimo cha kua na maisha mazuri?
Mh, hivi nyie mnajua mnachoongea kweli au mnaongea kiujumla jumla tu?Finally mtu kaeleza ukweli mchungu.