Ila Taifa lina viongozi waliokose hekima na busara katika kuamua mambo.
Wanahandle swala la Lissu kijinga kijinga sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata siku moja mafisi na mbwa mwitu hawana busara
Nchi ya watu 50m inakubali kuongozwa na mbweha na mapanya buku yasiyo na chembe ya utu????GOD HAVE MERCY