Karia karia karia ndio tatizo...unasemaje wewe dogo...haya ni mawazo yangu Mimi..Chini ya Karia ligi kuu imepeleka timu 4 mashindano ya caf, nikumbushe raisi yupi wa tff aliyefikia hayo mafanikio.
PointKuna haja ya Mbwana Samata na Boko kustaafu kuchezea timu ya Taifa.
Mmoja kazeeka na mwingine anaogopa kuumia
Ili nalo ni muhimu sana kwaoBoko astaafu tu mpira asee amechoka.
Tanzania jilaumuni kwa nafasi za Msuva na Boko za wazi walizokosa.
Sasa Karia ndio aliyepekeka timu nne? Na Mo Dewji asemeje?Chini ya Karia ligi kuu imepeleka timu 4 mashindano ya caf, nikumbushe raisi yupi wa tff aliyefikia hayo mafanikio.
Shida sio viongozi ni wachezaji wanyewe tu awajitoiSasa Karia ndio aliyepekeka timu nne? Na Mo Dewji asemeje?
Ukijiondoa ushabiki wa Yanga na kunisikia kidogo, pengine unaweza kuondoka hata na kitu walau kidogo.Shida sio Povu, tatizo linaanzia kwenye hadi kumuombea uraia ili aisaidie Taifa stars halafu ni mediocre player
Sasa sisi tunafeli wapi kutafuta wachezaji wenye quality ambao ni wenye Origin ya Tanzania na sio hawa mediocre playerUkijiondoa ushabiki wa Yanga na kunisikia kidogo, pengine unaweza kuondoka hata na kitu walau kidogo.
Madagascar, Guinea ya Ikweta na Cape Verde ni mifano michache ya nchi zilizokuwa chini sana kisoka barani Africa, lakini ziliamua kutafuta wachezaji popote pale duniani wenye chembechembe ya nchi zao na kuwashawishi wachukue uraia ili wazichezee nchi zao, na jambo hili limewasaidia sana hadi Madagascar na Cape Verde zimekuwa zikikata tiketi ya AFCON na hata Guinea ya Ikweta ilikuwa mwenyeji wa AFCON 2015 na kufika nusu fainali, hatua ambayo ni kubwa sana
Sasa sisi badala ya kuwashawishi wanaoweza kutusaidia eti tunashika bango tena kwa uchungu sana. Kisiasa ni jambo la kawaida sana kwa Waziri kutoa uraia kwa mkimbizi au mgeni mwingine, tena hata kama hasaidii lolote nchini. Tuache povu, waziri ametoa uraia kwa Kibu, na yeye aliyepewa ameukubali
View attachment 1967069
Huyo Kibu angeweza kupewa uraia hata kama sio mchezaji, yaani hata kama angekuwa mkulima tu, sheria inampa uwezo waziri kufanya hivyo na wala hakuna mtu wa kuhoji. Kwa hiyo povu la kusajiliwa Kibu kama Mtanzania lisihamishe mjadala.Yaani wachezaji wenyewe ndiyo Kibu? Naona unachangia bila kichwa
Leta sasa wakwenu munao waamini mikia, uanalalamika wakati timu yako hizo namba huna wazawa akina kenned juma? Tupe namba tano na nne mzawa aliyepo juu ya Mwamnyeto na Job kutoka Simba ambao wamecheza mech kubwa. Tusilaumu kwani washambuliaji hawajapata mipira kwa nini hawajafunga.Huyo Kibu angeweza kupewa uraia hata kama sio mchezaji, yaani hata kama angekuwa mkulima tu, sheria inampa uwezo waziri kufanya hivyo na wala hakuna mtu wa kuhoji. Kwa hiyo povu la kusajiliwa Kibu kama Mtanzania lisihamishe mjadala.
Badala ya kuangalia wanaopewa uraia, hebu tuangalie mabeki wetu ambao wana uraia halali usio wa kupewa, akina Dickson na Mwamnyeto. Ni wa viwango vya kutupeleka WC? Wamewahi kucheza mechi ngapi za kimataifa? Kama sio kucheza, basi walau wana uwezo gani uwanjani?
Shida kubwa Tanzania hakuna playmakers kama Chama/de Bruyne, ni vigumu sana kutengeneza high quality chances kama huna wachezaji wabunifu kwenye midfield.
Nadhani hujasoma tangu mwanzo, umekimbilia kujibu hii post kama ilivyoLeta sasa wakwenu munao waamini mikia, uanalalamika wakati timu yako hizo namba huna wazawa akina kenned juma? Tupe namba tano na nne mzawa aliyepo juu ya Mwamnyeto na Job kutoka Simba ambao wamecheza mech kubwa. Tusilaumu kwani washambuliaji hawajapata mipira kwa nini hawajafunga.
Kwamza beki wamejitahidi. Golikipa yule ni tz1 anaitwa.
Ngapi ngapi??Si alikuwepo fei toto jamani🤣