Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

Huyo Kibu angeweza kupewa uraia hata kama sio mchezaji, yaani hata kama angekuwa mkulima tu, sheria inampa uwezo waziri kufanya hivyo na wala hakuna mtu wa kuhoji. Kwa hiyo povu la kusajiliwa Kibu kama Mtanzania lisihamishe mjadala.

Badala ya kuangalia wanaopewa uraia, hebu tuangalie mabeki wetu ambao wana uraia halali usio wa kupewa, akina Dickson na Mwamnyeto. Ni wa viwango vya kutupeleka WC? Wamewahi kucheza mechi ngapi za kimataifa? Kama sio kucheza, basi walau wana uwezo gani uwanjani?
Ukitaguta mabeki wazawa walocheza mechi nyingi za kimataifa sidhani kama wapo kwa sasa? Na kama wapo basi hawapo katika viwango vyao.
 
Kuna haja ya Mbwana Samata na Boko kustaafu kuchezea timu ya Taifa.

Mmoja kazeeka na mwingine anaogopa kuumia
mnamlaumu Samatta unamwacha Feitoto badala ya kupiga mashuti anafikiri yuke kwenye taarabu, Msuva pia kazingua hii ni timu kosa ni la wote kama timu
 
Karia karia karia ndio tatizo...unasemaje wewe dogo...haya ni mawazo yangu Mimi..
Karia ndio tatizo...kwako wewe Karia ameleta mafanikio kupeleka timu nne caf...ni mawazo yako wewe..
Mwenzio amesema ameleta mafanikio na akatoa mfano. Wewe umesema ni tatizo lakini hujataja sababu wala mfano
 
Ukitaguta mabeki wazawa walocheza mechi nyingi za kimataifa sidhani kama wapo kwa sasa? Na kama wapo basi hawapo katika viwango vyao.
Issue sio kucheza mechi nyingi za kimataifa mkuu, ila issue ni kwamba hatuna quality player wanaocheza soka la viwango nchi za nje na ushindani mkubwa

Tatizo ndio linaanzia hapo
 
Huyo Kibu angeweza kupewa uraia hata kama sio mchezaji, yaani hata kama angekuwa mkulima tu, sheria inampa uwezo waziri kufanya hivyo na wala hakuna mtu wa kuhoji. Kwa hiyo povu la kusajiliwa Kibu kama Mtanzania lisihamishe mjadala.

Badala ya kuangalia wanaopewa uraia, hebu tuangalie mabeki wetu ambao wana uraia halali usio wa kupewa, akina Dickson na Mwamnyeto. Ni wa viwango vya kutupeleka WC? Wamewahi kucheza mechi ngapi za kimataifa? Kama sio kucheza, basi walau wana uwezo gani uwanjani?
Mkuu inabidi kama taifa tuna kazi ya kufanya tofauti na kuwapa uraia mediocre player wenye wanafanana uwezo na wachezaji wetu wa ndani basi tuwape uraia kama wakina Pascal serge Wawa na wengine wenye uwezo mkubwa
 
Ukweli ni kuwa mwenda pia nae alizidiwa sana half time mipira ilikuwa inapita kwake hata lile shambulizi walilotukosa kosa lilipita kwa mwenda.

Manura kwa sasa awekwe benchi kwani amekuwa akifungwa mashuti ya mbali hovyo.

Tumewazidi Benin kila kitu wao walikuwa wanazuia zaidi ila wamefanya kweli nafasi moja waliyopata. Na ubovu wa manura unachangia.

Kocha Kim tukiendelea nae hivi atatusaidia sana.

Mastriker wetu wajitafakari kwa kweli maana wametukosesha ushindi.

Wabongo tunajifanya wajuaji sana kama hilo popoma. Na menzie wakati hayana hata diploma ya soka.
 
mnamlaumu Samatta unamwacha Feitoto badala ya kupiga mashuti anafikiri yuke kwenye taarabu, Msuva pia kazingua hii ni timu kosa ni la wote kama timu
Huna lolote umejaa usimba tu
Kacheze wewe kama unadhani kiungo ni rahisi. Unajua unafumua shuti tu huku umekaa na bia yako watu wanatumia akili unadhani wanapiga tu hovyo. !

Punguwani mbumbumbu wewe.
 
Huna lolote umejaa usimba tu
Kacheze wewe kama unadhani kiungo ni rahisi. Unajua unafumua shuti tu huku umekaa na bia yako watu wanatumia akili unadhani wanapiga tu hovyo. !

Punguwani mbumbumbu wewe.
We shoga utulie wakati wanaume wanajadili kitu kakae na wenzako msukane nywele
 
mnamlaumu Samatta unamwacha Feitoto badala ya kupiga mashuti anafikiri yuke kwenye taarabu, Msuva pia kazingua hii ni timu kosa ni la wote kama timu
Alichokifanya boko hukuona? Boko na msuva ndio walipata nafasi za wazi zaidi kuliku fei toto
 
Alichokifanya boko hukuona? Boko na msuva ndio walipata nafasi za wazi zaidi kuliku fei toto
Boko alikosa goli la wazi, feitoto alikosa clear chance mbili kwa kushindwa kupiga shuti ukiacha ile nyingine iliyokuja kwenye mguu tofauti anaotumia msuva Nate alikosa magoli ya wazi
 
Mkuu inabidi kama taifa tuna kazi ya kufanya tofauti na kuwapa uraia mediocre player wenye wanafanana uwezo na wachezaji wetu wa ndani basi tuwape uraia kama wakina Pascal serge Wawa na wengine wenye uwezo mkubwa
Hivi unadhani kila unayetaka kumpa uraia wa Tanzania naye anataka huo uraia? Labda tuanzie hapo, maana tunajifunga kwenye mawazo kwamba eti akina Wawa na wengine wanapenda kuwa Watanzania. Tukumbuke kuwa kuna watu kwao kucheza timu ya taifa sio kipaumbele ukilinganisha na kujitenga na jamaa zao

Unaweza ukamtaka Wawa awe Mtanzania, lakini yeye hataki kwa sababu nyingine za kijamii, maana faida ya kuichezea Taifa Stars huenda ni ndogo kuliko faida ya kuwa karibu na jamaa zake aliowaacha Ivory Coast, ukizingatia kwamba umri wa kucheza mpira sana sana ukizidi ni miaka 35
 
Kenya wanauwawa huku na mali kipigo cha mbwa koko, o yango ameluwa uchochoro hadi katolewa
 
Back
Top Bottom