Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
Mkuu kuiangalia au kusikiliza mechi haibadili maana ya nilichokiandika hapo.umeiangalia mechi lakini au unasikiliza redioni?
punguza Wivu Taifa stars wamecheza vyema kabisaMkuu kuiangalia au kusikiliza mechi haibadili maana ya nilichokiandika hapo.
Wameupiga na wanapambanapunguza Wivu Taifa stars wamecheza vyema kabisa
Ndio nilichokiona mimi mipango mipango ya kufika golini ipo wakaze tu hatupo vibaya mpaka hivi sasapunguza Wivu Taifa stars wamecheza vyema kabisa
kabisa..vijana wamepambana unless wangekuwa wamepigwa 3 kipindi cha kwanzaWameupiga na wanapambana
Tuombe Mungu kipindi cha Pili wasikate pumziNdio nilichokiona mimi mipamgo mipango ya kufika golini ipo wakaze tu hatupo vibaya mpaka hivi sasa
Kabisaaakabisa..vijana wamepambana unless wangekuwa wamepigwa 3 kipindi cha kwanza
Swali zuri sana.Unaweza kutoa mfano wa hiyo mikakati uliyoandika?
Sina wivu na taifa langu pendwa. Hilo naomba ulijue mapema.Wameupiga na wanapambana
Mkuu umeniquotes kimakosaSina wivu na taifa langu pendwa. Hilo naomba ulijue mapema.
Hivi kwani huoni kama tunatumia nguvu kubwa kufuzu haya mashindano bila ya kuwa na mikakati bora..?
Mkuu umeniquotes kimakosa
Bila shaka nimeona. Samahani kwa hilo mkuuMkuu umeniquotes kimakosa
Na naenjoy kweli nisijekujutia usingz wangumwambie akuwache kabisa unaenjoy game
Usjali mkuuBila shaka nimeona. Samahani kwa hilo mkuu
🙏Usjali mkuu
Na naenjoy kweli nisijekujutia usingz wanguView attachment 1687772
Hapa wote hawajui mipra....pora lilikuwa jana la moroccopunguza Wivu Taifa stars wamecheza vyema kabisa
Yaani huu mpira hauvutii kuangalia acha tuu. Bado tuna safari ndefu sana.Mm naona sisi Tanzania (taifa stars) tumefuzu kuingia kwenye mashindano haya kwa mihemko na sio mikakati.
Kwa hali hii tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kila mtu atatunyoa tu.
Muhimu tuanze mikakati kwanza kabla hatujaanza kunyooshea vidole.
Naomba kuwasilisha