Tanzania vs Guinea: Tanzania yaaga mashindani baada ya kutoka sare ya mabao 2 kwa 2 dhidi ya Guinea

Tanzania vs Guinea: Tanzania yaaga mashindani baada ya kutoka sare ya mabao 2 kwa 2 dhidi ya Guinea

Hii game yetu
20210127_225510.jpg
 
Unaweza kutoa mfano wa hiyo mikakati uliyoandika?
Swali zuri sana.
Kwanza kabisa tuboreshe ligi yetu sambamba na kuinua soka la vijana wadogo, na kuwepo mashindano maalum ya kuchuja vipaji vya hao vijana kuanzia ngazi ya awali mpaka ngazi kuu.
Pia kuwepo tathmini ya wazi ambayo itasaidia kugundua ubora na udhaifu wa ligi zetu kuanzia ligi ya awali mpaka ligi kuu.
Hivyo vitu na vingine vingi vitasaidia kwa kiasi flani kuwa na timu shindani ya taifa letu. Bila kusahau suala la financial management.
 
Wameupiga na wanapambana
Sina wivu na taifa langu pendwa. Hilo naomba ulijue mapema.
Hivi kwani huoni kama tunatumia nguvu kubwa kufuzu haya mashindano bila ya kuwa na mikakati bora..?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Sina wivu na taifa langu pendwa. Hilo naomba ulijue mapema.
Hivi kwani huoni kama tunatumia nguvu kubwa kufuzu haya mashindano bila ya kuwa na mikakati bora..?
Mkuu umeniquotes kimakosa
 
Mm naona sisi Tanzania (taifa stars) tumefuzu kuingia kwenye mashindano haya kwa mihemko na sio mikakati.
Kwa hali hii tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kila mtu atatunyoa tu.
Muhimu tuanze mikakati kwanza kabla hatujaanza kunyooshea vidole.
Naomba kuwasilisha
Yaani huu mpira hauvutii kuangalia acha tuu. Bado tuna safari ndefu sana.
 
Back
Top Bottom