Tanzania vs Guinea: Tanzania yaaga mashindani baada ya kutoka sare ya mabao 2 kwa 2 dhidi ya Guinea

Mabeki wataighalimu timu Muda wowote naona gine wamechwarukwaa
Usisahau kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa makosa.
Endapo akili itashindwa kuwasiliana na kitendea kazi "miguu" lazima tu ufanye makosa.
 
Ni suala la muda tu. Naona kodi zetu zinaenda kusikojulikana. Hii jokes wakuu msiponde mawe 🏃🏃
Ebwana hawa jamaa unaona kabisa wanatafuta goli...kwa kipindi cha dakika 7 wameonyesha tofauti
 
Reactions: Lee
Tulikuwa tunafuzuu make hawa bado wametoshana
 
Mkuu toa hoja sio unatuletea chuki zako binafsi hapa sio facebook
 
Kabla ya Guinea kusawazisha, tulielemewa kwa Kona mfululizo na momentum kubwa ya Guinea, wachezaji walishindwa kupunguza momentum, ilibidi Kocha wa Stars aingilie kati kwa subs angalau ingepooza mchezo. Halafu wachezaji wetu nao mbinu ndogo, wanashindwa hata kujiangusha kwa kuzuga?
 
Mkuu toa hoja sio unatuletea chuki zako binafsi hapa sio facebook
chuki i wapi?
Nani kaandaa hilo bonanza.

Washiriki wanalipiwa na nani?

mechi inayo fuata ni lini na na nani n nani?

jibu hayo maswali nione hoja utakazo
 
Hii mechi ndayiragije ameiharibu timu ilikuwa ilishapata ushindi wachezaje kibao wamechoka yeye anawaacha tu

Wamesawazisha ndio anakumbuka kufanya sub

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…