Wla sio kocha mpuuzi ni manura nyau huy bhnHii mechi ndayiragije ameiharibu timu ilikuwa ilishapata ushindi wachezaje kibao wamechoka yeye anawaacha tu
Wamesawazisha ndio anakumbuka kufanya sub
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Katika spell ya dakika 7 wametuonyesha kuwa sie hatujui mpira...ona watu wanavyotafuta goli....yaani unaona kabisa hapa goli linakuja.Na tayr la pil limewekwaa sio poa yaan
Shida na golipika mpuuzi wetu yule maan sifa za kumpa Sana nyau huyKatika spell ya dakika 7 wametuonyesha kuwa sie hatujui mpira...ona watu wanavyotafuta goli....yaani unaona kabisa hapa goli linakuja.
Wacha tutoke maana tungejidai sana wakati pira lenyewe hatujui
Anafataa masharti ya mkuluu ashakataza usimba na uyangaHuyu etiene nimemwelewa akipewa muda wakutosha atafanya jambo..
Kwanza anataka kufuta uyanga na usimba ndani ya timu ya taifa
Kocha katuponza PERIOD!
Ndio stars inatakiwa kuwa hvy hv hv hatusogeei naon kaul za Mh Rais zinafanya kaz usimba na uyanga ukifa tusogeeaa mbelHuyu etiene nimemwelewa akipewa muda wakutosha atafanya jambo..
Kwanza anataka kufuta uyanga na usimba ndani ya timu ya taifa
Mitano tenaAnafataa masharti ya mkuluu ashakataza usimba na uyanga
na kutaka kuufuta kutamponza kama hivi kuweka wachezaji hawajui hata wanataka nini uwanjaniHuyu etiene nimemwelewa akipewa muda wakutosha atafanya jambo..
Kwanza anataka kufuta uyanga na usimba ndani ya timu ya taifa
mwamnyeto kapiga kazi sana fwd vichekesho nchimbi anaparamia tu watuTzn hakuna beki wala fowadi yaani tuna kipa na viungo tuu na huwezi mlaumu kocha pengine ni ufinyu wa vipaji hapa Bongo
Ukichukua uwezo wa mchezaji mmja mmja Kati ya Tzn na Guinea wametuzidi mbaali