Tanzania vs Guinea: Tanzania yaaga mashindani baada ya kutoka sare ya mabao 2 kwa 2 dhidi ya Guinea

Tanzania vs Guinea: Tanzania yaaga mashindani baada ya kutoka sare ya mabao 2 kwa 2 dhidi ya Guinea

Ngoja ninifarijiii na hii
20210127_235026.jpg
 
Huyu etiene nimemwelewa akipewa muda wakutosha atafanya jambo..

Kwanza anataka kufuta uyanga na usimba ndani ya timu ya taifa
 
Katika spell ya dakika 7 wametuonyesha kuwa sie hatujui mpira...ona watu wanavyotafuta goli....yaani unaona kabisa hapa goli linakuja.
Wacha tutoke maana tungejidai sana wakati pira lenyewe hatujui
Shida na golipika mpuuzi wetu yule maan sifa za kumpa Sana nyau huy
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Huyu etiene nimemwelewa akipewa muda wakutosha atafanya jambo..

Kwanza anataka kufuta uyanga na usimba ndani ya timu ya taifa
Ndio stars inatakiwa kuwa hvy hv hv hatusogeei naon kaul za Mh Rais zinafanya kaz usimba na uyanga ukifa tusogeeaa mbel
 
Tzn hakuna beki wala fowadi yaani tuna kipa na viungo tuu na huwezi mlaumu kocha pengine ni ufinyu wa vipaji hapa Bongo

Ukichukua uwezo wa mchezaji mmja mmja Kati ya Tzn na Guinea wametuzidi mbaali
 
Back
Top Bottom