Tanzania vs Malawi, kutoka CCM Kirumba 29/3/2015

Tanzania vs Malawi, kutoka CCM Kirumba 29/3/2015

asante sana Mkolaj kwa kuwa sambamba, Uzalendo kwanza Leo na Kesho
 
Kuna mchezaji mmoja si kwa jina ila kwa mfumo anaishambulia starz maana anaonekana hana impact.
 
hali ya hewa inaashiria pambano huenda likavunjika kwa jinsi ya wingu zito linalojikusanya
 
Malinzi anazidi kujaza undugunaisheni , Salva kaongezwa benchi la ufundi kama physician
 
kimfumo hakuna impact kati ya Erasto na Aggrey, hapa Msuva alikua muhimi bado ili kusukuma mashambulizi, ndo maana mpira uNACHEZWA SANA ZONE YA KATI NA NYUMA

Ni heri wewe umesema, ningesema mimi au mkolaj, tungeonekana wanazi tu.
 
Last edited by a moderator:
nimenote sisi tumejaza wazee wenzetu wana vijana wa maboresho
 
Sehemu ya kiungo ya timu ya tanzania bado haijacheza vizuri kabisa,
kiemba na kazimoto bado hawachez kitimu.
 
moja ya makosa ya mpira ni kunyanyua mpira wa chini uende juu, hjii inamkost sana Chanongo
 
The flames 1 sisi bado dk 34.goli wamefunga dk ya 4.
 
dk 35 Malawi wamekosa bao baada ya beki kukatika
 
Back
Top Bottom