Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asilimi kama 80 ya Kirumba imejaa
strategy pia ilikua nzuri sababu wana KIUMwanza ni watu wa mpira.
Kuna mchezaji mmoja si kwa jina ila kwa mfumo anaishambulia starz maana anaonekana hana impact.
kimfumo hakuna impact kati ya Erasto na Aggrey, hapa Msuva alikua muhimi bado ili kusukuma mashambulizi, ndo maana mpira uNACHEZWA SANA ZONE YA KATI NA NYUMANani huyo?
hali ya hewa inaashiria pambano huenda likavunjika kwa jinsi ya wingu zito linalojikusanya
kimfumo hakuna impact kati ya Erasto na Aggrey, hapa Msuva alikua muhimi bado ili kusukuma mashambulizi, ndo maana mpira uNACHEZWA SANA ZONE YA KATI NA NYUMA
Sehemu ya kiungo ya timu ya tanzania bado haijacheza vizuri kabisa,
kiemba na kazimoto bado hawachez kitimu.