Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Wagonjwa wapya halafu idadi bado ni ile ile, hii imekaaje?
 
Na pia tukumbuke kuwa leo ni moja ya zile siku tatu ambazo watu wamepewa ruksa kuomba

Ngoja tusikilizie pengine muujiza ukafanyika katika hizo siku mbili zilizosalia
 
Wapo mikoa gani tuchukue tahadhari huku?
 
Mwana efu ei yuko wapi jamani? Alisema haka kaugonjwa hakafui dafu kwa Maleria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…