Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
Mmeambiwa msali kwa siku 3 na leo ndiyo siku ya 1.
Uzuri wa Mwenyezi Mungu huwa hapotezi muda wake Kusikiliza Maombi ya Kinafiki kutoka kwa Mwamba wa Unafiki nchini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeambiwa msali kwa siku 3 na leo ndiyo siku ya 1.
Basi kila nchi Rais ndio wa kumlaumu..kama mchezo wa lawama ndio huu.Lawama zote kwa John
Maombi ya leo hayajasaidia?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani mpaka sasa wamekufa wangapi?Namtafuta Bia yetu aseme jinsi jamaa alivyotuvusha
Ummy kavua kilemba?!!
Tufanye Maombi ya kutafuta laana sio baraka.Uzuri wa Mwenyezi Mungu huwa hapotezi muda wake Kusikiliza Maombi ya Kinafiki kutoka kwa Mwamba wa Unafiki nchini.
Sina takwimu Ndugu! Serikali ndio wanajua, mie naumwa nimejilalia zangu ndani nasali tu.Kwani mpaka sasa wamekufa wangapi?